Saturday

AJALI ALIYOPATA BAHATI BUKUKU LEO ASUBUHI.

Muimbaji maarufu nchini wa nyimbo za injili nchini,Bahati Bukuku (40) amepata ajali akiwa katika gari alilokuwa akisafiria kuacha njia na kugonga gema, baada ya kugongwa na gari lingine linalosemekana kuwa ni fuso.
Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi watu wengine waliojeruhiwa kwenye ajali hiyo mbali na Bahati Bukuku ni watu wawili na gari lililopata ajali na kusababisha majeraha
kwa watu hao ni Toyota Nadia yenye namba za usajili IT 7945.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi David Misime amesema ajali hiyo imetokea july 25 saa tatu 9:00 alfajiri katika Barabara ya Morogoro – Dodoma eneo la Ranch ya NARCO wilayani Kongwa.
Uchunguzi wa ajali hiyo nado unaendelea ikiwa ni pamoja na kutafuta gari lililowagonga.

Wednesday

Mh Lowassa akutana na balozi wa Ubelgiji

 Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya kudumu ya mambo ya nje Mh Edward Lowassa akizungumza na balozi wa Ubelgiji Hapa nchini Koen Adam aliyekwenda kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Saalam jana.Walijadiliana masuala mbalimbali yakiwemo suala la mchakato wa katiba mpya,mzozo katika eneo la nchi za maziwa makuu pamoja na hali katika Umoja wa Ulaya ilivyo kwa sasa.

Friday

NARUDI DENMARK KUISHI NA FAMILIA YANGU "JCB"


Mtu mzima JCB hivi sasa yuko njiani anaelekea Nairobi tayari kwa safari yake ya kwenda Denmark kuishi na familia yake. JCB ameongea na DJCHOKAblog kwa njia ya simu akitokea Arusha akielekea Nairobi kwaajili ya kupanda ndege itakayompeleka hadi Amsterdam halafu Denmark. Alipoulizwa kuhusu atarudi lini JCB alijibu bado hajafikiria labda mwakani ndio atarudi ila atakaa kaa sana huko Denmark na mke wake pamoja na mtoto wao mmoja waliompata

Taarifa kuhusu mabadiliko ya ngazi za ufaulu Tanzania, hakuna tena division 0

wanafunziSerikali ya Tanzania imetangaza kufuta daraja sifuri katika matokeo ya elimu ya sekondari nchini na kuongeza daraja la tano ambapo pia matokeo ya kidato cha nne kwa watahiniwa wanaorudia mitihani yatahusisha matokeo yao ya awali wakati wakiwa shuleni ili kuwarahisishia kupata alama nzuri.
Katibu mkuu wa Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi Profesa Sifuni Mchome amesema pamoja na marekebisho hayo pia wameongeza daraja B ya juu kwa alama za ufaulu ambapo daraja A wigo wa ufaulu ni kati ya alama 75 na 100, daraja B la juu ni kati ya alama 60 na 74, daraja B la kati ni 50 na 59, daraja C kati ya 40 na 49, daraja D kati ya 30 na 39, daraja E kati ya 20 na 29 na daraja F ni kati ya alama 0 na 19.
Profesa Mchome amesema marekebisho hayo yanalenga kuinua kiwango na kuboresha kiwango cha elimu Tanzania ambapo kwa kila muhitimu wa kidato cha nne matokeo yake ya mwisho yatajumlishwa na alama zisizozidi 40 ambazo zitatokana na majibu ya mitihani ya kidato cha pili, cha tatu na mtihani wa Mock.
Kwenye sentensi nyingine ni kwamba mtihani wa kidato cha nne utafanyika November 4 2013 ambapo zaidi ya Watahiniwa laki nne wanatarajiwa kufanya mtihani hii ambapo kati yao, Watahiniwa laki 3 na elfu 67,399 ni kutoka shuleni huku Wavulana ni 198,257 sawa na asilimia 53.69 na Wasichana ni 169,142 sawa na asilimia 46.04 ambapo vituo vya kufanyia mitihani ni 4,365

IDADI KAMILLI YA WALIOCHUKUA FORM NA KURUDISHA TFF.

Wanamichezo 50 kati ya 52 waliochukua fomu kuomba kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) utakaofanyika Februari 24 mwaka huu wamerejesha fomu hizo.
Waombaji ambao hawakurejesha fomu ni Geofrey Nyange aliyekuwa akiomba ujumbe wa Kamati ya Utendaji kuwakilisha mikoa ya Morogoro na Pwani, na Shufaa Jumanne aliyekuwa akiomba kuwakilisha Kanda ya Dar es Salaam.
Orodha kamili ya waombaji ambao wamerejesha fomu ni Athuman Nyamlani, Jamal Malinzi, Omari Nkwarulo na Richard Rukambura (Rais). Michael Wambura, Ramadhan Nassib na Wallace Karia (Makamu wa Rais).
Kwa upande wa ujumbe wa Kamati ya Utendaji ni Abdallah Musa, Salum Chama na Kaliro Samson (Kagera na Geita), Jumbe Magati, Mugisha Galibona, Richard Rukambura, Samuel Nyalla, Titus Osoro na Vedastus Lufano (Mara na Mwanza).
Epaphra Swai na Mbasha Matutu (Shinyanga na Simiyu), Charles Mugondo, Elly Mbise na Omari Walii (Arusha na Manyara), Ahmed Mgoyi na Yusuph Kitumbo (Kigoma na Tabora), Ayubu Nyaulingo, Blassy Kiondo, Nazarius Kilungeja na Selemani Kameya (Katavi na Rukwa) na James Mhagama na Stanley Lugenge (Njombe na Ruvuma).
Athuman Kambi, Francis Ndulane na Zafarani Damoder (Lindi na Mtwara), Hussein Mwamba na Stewart Masima (Dodoma na Singida), Farid Nahdi, Hassan Othman Hassanoo, Riziki Majala na Twahili Njoki (Morogoro na Pwani), David Lugenge, Elias Mwanjala, Eliud Mvella na John Kiteve (Iringa na Mbeya), Davis Mosha, Khalid Mohamed na Kusiaga Kiata (Kilimanjaro na Tanga) na Alex Kamuzelya, Juma Pinto, Muhsin Balhabou, Omari Abdulkadir na Shaffih Dauda (Dar es Salaam).

SHAKIRA and GERARD PIQUE share amazing pregnancy photos wit

                                    Shakira ameamua kuweka picha hizo mtandaon mapema
                                     ili mashabiki  wake waweze kuangali bule tofauti na
                                     wasanii wengine ambao huamua kuuza picha zao.


Thursday

MAKAHABA WAMEKATWA JANA TAREHE 9/1/2013


Jeshi la Polisi Tanzania limewakamata zaidi ya wasichana wapatao 22 eneo la Mwananyamala karibu na geti la Mwananyamala hospitali akiwemo mama mtu mzima anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 70 ambaye alikuwa anamiliki jumba lenye zaidi ya vyumba 40 ambalo utumika kufanyia ukahaba maarufu kama danguro.

 
Akitoa taarifa leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamanda Charles Kenyela, alisema kuwa wanashukuru wananchi ambao wameweza kutoa ushirikiano wa kukamatwa kwa wasichana hao ambao walikuwa wakifanya biashara ya ukahaba katika maeneo hayo kwa muda mrefu.

Mashuhuda wa tukio hilo, walisema kuwa wanalishukuru sana Jeshi Polisi kwa kuweza kuwakamata wasichana hao ambao wamekuwa wakifanya biashara hiyo ya ukahaba kwa muda mrefu.

"Tunalishukuru sana Jeshi la polisi kwa kuvunja kero hii ambayo imekuwa ikitukera tokea muda mrefu sana, yani danguro hili lipo tokea mwaka 1990, mimi nazaliwa nalikuta mpaka leo lipo ila leo ndiyo polisi wamekuja kuwakamata wahusika" Alisema mmoja ya vijana wanaoishi eneo hilo.

Shuhuda huyo aliongeza kuwa wasichana hao walikuwa wanafanya biashara hiyo kwa bei ya shilingi 2000, 3000 kwa muda mfupi (short time) na wateja wao ni vijana, akina baba pamoja na vijana ambao huwa wanabarehe kwa vile hawa huwa hawajui mapenzi huko huenda kufundishwa...

Monday

PICHA ZA WEMA SEPETU ZAWA HABARI YA MJINI MITANDAON,

                                                   Ikiwa ni mda mchache tu baada ya kupost picha zake                               zenye kuonyesha wazi sehem za tumbo na kifua kupitia Instagram, picha ya wema imeonekana kusambaa kwa haraka zaidi kupitia mtandao wa jamii "facebook" huku kila mmoja akitoa maoni yake kutoka na mtazamo wake                             
 Obedy Bernard Hakika Ney wa mitego hakukosea, makahaba wenye vwango wako bongo move. Wema ni mfano tosha usio pngika kwa hilo. Halafu inakuwaje mwanatme mwenye akili zako umshobokee kahaba kama huyu? Yaani zkitoka tunzo za khb bora tz huyu malaya hatakuwa na mpinzani.
 Timoth Kalavuze wema noma xnaa!!!
Hija Punch Boy Mbogo no one like you i love you wema sepetu waache waogee 2 kwamba wewr malaya kwangu wewe ni namba moja
Paul Shangal Hamna kioo cha jamii bali ktanda cha jamii
Shabbani Saidi daaaaaaaaa ujuwe dada zetu wana tabu sana naiyote kutaka kufosi kuwa maalufu kama watu wa mbele kumbe awajui kama wana jizalilisha kwani lazima uwe malufu na tama ina wapoza kk tuseme ukweli bwana
Mary Talalela usi judge na ku-coment bad about her mwache ahave funny nyie mnajua wake au magirlfnd zenu huwa wanafanya nini nyuma ya pazia ....? sibora wema .... i love u baby wema sana shoo what u have.
kupitia Instagram wema alipost picha hiyo ikiwa na maneno haya " gats to lose me a few more pounds"

                                       
           http://www.facebook.com/pages/Romantic-sky/103655956441781?fref=ts

Tuesday

BREAKING NEWS:SAJUKI KILOWOKO AMEFARIKI R.I.P

         

MWIGIZAJI na mtayarishaji wa filamu  Juma kilowoko ‘Sajuki’ amefariki dunia asubuhi muda wa saa moja kasoro akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa akisubiri kusubiri kusafiri kwenda nchni Indi kwa matibabu.

 


Taarifa za mazishi bado familia inashughulikia na ikiwa tayari tutaujulisha umma.... 
Sajuki alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa mgongo na saratani ya ngozi....
 Bwana ametoa bwana ametwaha jina la bwana lihimidiwe. Amina
                                  
                                                            sajuki na mkewe wastara.

Wednesday

MCHAKATO WA LULU KUPATIWA DHAMANA

                                                                LULU.
                        

Siku chache baada ya kupunguziwa makali ya kesi ya kuhusishwa na kifo cha msanii mwenzake, Steven Charles Kanumba, staa aliyefanya vizuri kwenye tasnia ya filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ameombewa dhamana baada ya hati maalum ya dharura kutinga Mahakama Kuu Tanzania, Jumatatu iliyopita.

Mmoja wa mawakili anayemtetea msanii huyo, Peter Kibatala alisema kuwa wamewasilisha hati hiyo ili kuomba dhamana kwa mteja wao huyo.

“Tunajua kuwa wafanyakazi wengi wa mahakama kuu huwa likizo kipindi hiki hadi Februari Mosi hadi mwakani, lakini kuna majaji sita ambao huwa wanakuwepo kwa dharura, wanaweza kutusikiliza na kutenda haki,” alisema.

Kibatala alisema kuwa wanaamini Lulu ana vigezo vyote vya kuweza kupewa dhamana na kumfanya awe anatokea nyumbani wakati wa kusikiliza kesi yake.

“Jukumu kubwa ni kupewa masharti na mahakama kuu na kuangalia kama tutaweza kuyamudu ili mtuhumiwa aweze kupewa haki yake ya msingi,” alisema Kibatala.

Mwandishi wetu alizungumza na mmoja wa makarani wa mahakama kuu ambaye alisema kuwa hajaiona hati hiyo ya kuomba dhamana ya Lulu lakini ikifika wakati wowote wataifanyia kazi.

Hivi karibuni Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dar ilihamishia kesi hiyo mahakama kuu baada ya mwendesha mashitaka wa serikali kubadili mashitaka ya kuua na kuwa ya kuua bila ya kukusudia, hali ambayo imepunguza makali ya kesi iliyokuwa ikimkabali mtuhumiwa huyo.

Lulu anahusishwa na kifo cha Kanumba kilichotokea Aprili 7, mwaka huu nyumbani kwake Sinza Kijiweni jijini na kuzikwa makaburi ya Kinondoni Aprili 9, mwaka huu.  
     

Monday

MERRY XMASS FRIENDS

                                          HAPPY XMASS FRIENDS ALL OVER THE WORLD
                                           LETS  ENJOY THIS DAY JOYFUL WITH OUR FAMILY,
                                               FRIEND,RELATIVES AND PEOPLE WHOM WE LOVE
                                                    THEM MOST.   love you all.

AJALI MBAYA YA BUS NA LORI USO KWA USO.

                                              Angalia gari lilivyoharibika utadhani limepakiwa miaka mingi
                                              kumbe masikini wa Mungu ajali mwisho wa mwaka.
                                      Majeruhi wakiwa hospitali kupatiwa matibabu
                                       huku wakitoa maelezo kuhusiana na ajali.

                             Lori aina ya Fuso T466 BTT likiwa pembeni ya barabara
                              inasemekana dreva wake alikimbia baada ya ajali.
                                        magari yakiwa pembeni ya barabara yameacha njia yote.
                                     mtoto mdogo ambaye jina lake halikupatikana akieleza
                                     ajali ilivyokuwa kwani anadai alinusurika baada ya kuwa alikuwa amefunga
                                     mkanda,ila jirani ake alikuwa amekaa na mama mwingine ambaye ameumia
                                      sana sababu hakufunga mkanda.

Friday

Alicia Keys - Brand New Me

It's been a while, I'm not who I was before
You look surprised, your words don't burn me anymore
Been meaning to tell you, but I guess it's clear to see
Don't be mad, it's just the brand new kind of me
Can't be bad, I found a brand new kind of free

Careful with your ego, he's the one that we should blame
Had to grab my heart back
God know something had to change
I thought that you'd be happy
I found the one thing I need, why you mad
It's just the brand new kind of me

It took a long long time to get here
It took a brave, brave girl to try
It took one too many excuses, one too many lies
Don't be surprised, don't be surprised

If I talk a little louder
If I speak up when you're wrong
If I walk a little taller
I've been on to you too long
If you noticed that I'm different
Don't take it personally
Don't be mad, it's just the brand new kind of me
And it ain't bad, I found a brand new kind of free

Oh, it took a long long road to get here
It took a brave brave girl to try
I've taken one too many excuses, one too many lies
Don't be surprised, oh see you look surprised

Hey, if you were a friend, you want to get know me again
If you were worth a while
You'd be happy to see me smile
I'm not expecting sorry
I'm too busy finding myself
I got this
I found me, I found me, yeah
I don't need your opinion
I'm not waiting for your ok
I'll never be perfect, but at least now i'm brave
Now, my heart is open
And I can finally breathe
Don't be mad, it's just the brand new kind of free
That ain't bad, I found a brand new kind of me
Don't be mad, it's a brand new time for me, yeah
VIDEO MPYA YA Diamond - Kesho FULL HD                    isikilize vizuri usikie kijana alivyofanya kweli
                    kwani huwa hakosei hata kidogo,video nzuri
                    na mashairi pia mazuri kuyasikiliza kwani
                     ni catch up lyric.najiuliza tu sijui kaimbiwa WEMA,
                    JOKATE.

Zero Dark Thirty Official Final Trailer (2012) - Kathryn Bigelow Bin Lad...Muongozaji wa filamu maarufu ya Zero Dark Thirty, Kathryn Bigelow anataraia kuonyesha ujuzi wake katika kutengeneza filamu kupitia kazi yake mpya ambayo inaelezea tukio zima la mchakato ambao ulifanikisha kukamatwa na kuuawa kwa kiongozi wa al Qaeda Osama Bin Laden.Filamu hii itakuwa ikionyesha uchunguzi ambao umekuwa ukifanywa kwa miaka 10 mfululizo ili kujua mienendo ya Bin Laden na jinsi anavyoishi pamoja na timu ya makomandoo ambao walisimama mstari wa mbele hadi kumaliza kazi waliyokuwa wametumwa. Filamu hii itaonyeshwa kwa mara ya kwanza leo katika baadhi ya miji ambayo imechaguliwa na itaachiwa rasmi duniani Januari 11 mwakani.

Wednesday

PESA UKO WAPI WENGINE TUNATESEKA

Huyo ni mdada amefanywa ya kufanywa kisha akafunikwa na PESA nyingi sana ambazo zilitumika
kama leso wakati mwanafanya mambo yao ambayo mungu ameyapinga,wakati wengine wakizitafuta huku na kule wao wanajifuta nazo 2nakwenda wapi xaxa??

Thursday

MWANAMKE AZAA MTOTO ANAYEFANANA NA CHURA

                                  DUNIA INA MAMBO JAMANI.........
                         Mwanamke mwenye familia ya watoto wawili amejikuta akikaa
                         na mimba yake kwa miezi 13 mpaka watu wakahisi atakuja kuzaa mapacha
                        ila mwisho wa siku amekuja kuzaa mtoto anayefanana kichwa na macho.
                            Mama mwenyewe anadai kuwa kuna mkono wa mtu kwenye
                             uzazi wake ila amedai yeye na mume wake hawana jinsi itabidi wamlee tu
UNAZANI KWA NINI HUYU MAMA KAJIFUNGUA MTOTO ANAFANANA NA CHURA????

NEWSBISCUIT YAPOTOSHA HABARI AFRICA KUHUSU MIKE TYSON KUBADILI JINSIA


Tarehe 12/12/2012   iligeuka kuwa siku ya wajinga duniani badala ya April Mosi baada ya magazeti mengi ya Afrika na hasa Tanzania kuingizwa mkenge na habari ya kubuni ya Mike Tyson kubadilisha jinsia na kuwa mwanamke. 

Bahati mbaya sana ni kuwa bado watanzania wengi yakiwemo magazeti na hata baadhi ya vituo vya radio vimeendelea kuisema habari hiyo ya kupotosha kama vile ni ya kweli.


Habari hiyo hata hivyo iliandikwa mwishoni mwa mwezi November na website ya nchini Uingereza ambayo huandika habari za kubuni iitwayo NewsBiscuit.

Magazeti maarufu nchini yakiwemo Mwananchi na Jambo Leo yaliiandika habari hiyo pamoja na magazeti mengine makubwa barani Afrika kama The Standard la Zimbabwe na website ya Ghana SpyGhana.

Kwa mujibu wa BBC,NewsBiscuit ilidaiwa kuelemewa zaidi jana kutokana na wasomaji kuwa wengi kutoka Afrika.

“Tumepata wasomaji zaidi ya nusu kutoka Afrika katika siku chache zilizopita ambao tungetegemea kuwapata kwa mwezi mzima,” mwandishi wa mtandao huo John O’Farrell aliiambia BBC.

Alisema habari hiyo ilisomwa zaidi ya mara 50,000 katika siku chache tu ikiwa ni mara 20 zaidi ya kawaida.

MKENYA AVIL ALAMBA DILI YA KUONEKANA KWENYE GOLDEN ROME MAGAZINE

                                     The icon mwingine kwa kenya Avil amepata dili la kuwepo
                                      kwenye cover ya magazine kubwa ya vipodozi na ataonekana
                                     mtupu kama alivyozaliwa kwan siyo shida kwake kwani hata hapo zamani
                                     amewahi pigwa picha akiwa anasagana 
                            Avil alipatikana pia akisagana
                                             mchezo mingine shida na chupi za bei poa

Monday

CIARA NA PICHA ZA UCHI.

                           The super hot dancer mwanadada Ciara aekuwa gumzo kwa
                            kipindi hiki all over social media na network kwa picha ake hapo
                            juu jinsi alivyo mtupu kama mtoto mdogo,THE HOTTEST
                            zinadai inaweekana hii picha ilipigwa mahususi kwa ajili ya kumpa
                            Ex boy wake 50CENT kwenye birth day yake na imetengenezwa
                             kumficha ficha na viua mdada  kwa utaalamu wa hali ya juu sana.
                             info nyingine zinadai kuwa hii snap alipigwa muda mrefu sana
                             kama miaka mitano iliyopita ila ilivuja wakati wakiwa behind the scene
                             ya upigaji wa picha.


RAY C NA MAMA AKE WAMSHUKURU RAIS KIKWETE

                                               Mwandada mkare wa nyoga zama hizo Ray C
                                               akiwa na rais wa tanzania DK kikwete alipokuwa
                                                amekwenda kumshukuru kwa matibabu anayosaidiwa
                                                hata hivyo taarifa toka ikulu zinakataa kusema ni wapi
                                                 Ray C anatibiwa kwa sasa mpaka atakapo pona
                                                 kabisa.Mama wa Ray c anashuru  sana pia anadai
                                                   mwanae anendelea vizuri sana kwani anakula vizuri tu.
                                         mama wa Ray c kushoto na mtandio mweupe,Rais kikwete,
                                         Ray c mwenyewe na dada ake.

Sunday

CHECK THE MAKING OF NATAKA KULEWA VIDEO ILIVYOKUWA HOT.

                                         Hawa ni baadhi ya wazee ambao wapo kwa video hiyo
                                          wakipata vitu vyao.
                                  The director wa I-view mwenyewe mtamboni
                               Pluntinum akicheza na mapeshee wa kike
                              Ma model wakipewa somo kwanza kabla ya kazi nzito
                                  kuendelea tena
                               Chezea Diamond wewe acha akate kiuno mpaka basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
                                   Hisia kali hakuwa nazo Bobby Marley tu hata Diamond pia
                                     check anavyoimbia na kinanda hicho.
                                       The band aiseeeeeeee nimakamuzi mpk basiiii
                                  Alipiga mpk drum ili kuonyesha kweli anataka kulewa
                                  Martin Kadinda desiner wa nguo wa diamond akimfanyia interviw
                                    kidogo kuhusu mavazi
                     Wasafiiiii  dancer wakitupia kidogo like Men in black ooogosh hot mbaya waiti
                         video ufurahi mwenyewe baadae kidogo.

Saturday

DEDICATION KWAKO "LIE TO ME" BY NEYO ISIKILZE HUKU UNA MASHAIRI

                          kama umewahi msaliti mwanamke au mwanaume umpendae
                           chini ya jua basi huu wimbo ni maalum kwako,
                           Ne yo anamwambia mdada ampe uongo mwingine kwani 
                           alikwenda mpk kwa mwanamke akampigia simu akiwa mlangoni
                           akasikia kabisa inaita then mwanamke anazuga hajasikia simu 
                           haaaaa haaaaa tell me another lie


 "Lie To Me"


Lie to me, lie to me, lie to me, lie to me
Lie to me, lie to me, lie to me, lie

I just wanna be NUMB
I don't wanna feel a thing
I don't want reality
Actually, reality stinks

How about we just pretend
That your cellphone didn't even ring
And that I wasn't on the other side of the door
Listening to everything, tell me another lie

I don't wanna know what I know to be true
What I need you to do, tell me another lie
I don't wanna know what I know to be true
What I need you to do, tell me another lie
I don't wanna know what I know to be true
What I need you to do, tell me another lie
I don't wanna know what I know to be true
What I need you to do, tell me another lie

Lie to me, lie to me, lie to me, lie to me
Lie to me, lie to me, lie to me, lie

Please make me believe (make me believe)
That there's nobody for you BUT me (for you BUT me)
When I ask who were you talking to
Tell me it was KIMBERLY

Tell me THAT last night you didn't leave
After you thought I was asleep
Krept back in that 6:45
Tell me it was just a dream

Baby I need (I need), desperately (desperately), desperately (desperately)
To believe you
'Cause I won't be held (won't be held), responsible (responsible)
For what what (what what), what I might do

Baby I need (I need), desperately (desperately), desperately (desperately)
To believe you
'Cause I won't be held (won't be held), responsible (responsible)
For what what, what I might to do me another lie
(Oh)

I don't wanna know what I know to be true (don't wanna know, don't wanna know)
What I need you to do, tell me another lie (another lie, yeah)
I don't wanna know what I know to be true
What I need you to do, tell me another lie (oh, tell me another lie)
I don't wanna know what I know to be true (don't wanna know, no no)
What I need you to do, tell me another lie (tell me a lie)
I don't wanna know what I know to be true (hey, hey, hey, hey)
What I need you to do, tell me another lie

Tell me another lie
Tell me another lie
Tell me another lie
Tell me another lie

I don't wanna know what I know to be true
What I need you to do, tell me another lie
I don't wanna know what I know to be true
What I need you to do, tell me another lie
I don't wanna know what I know to be true
What I need you to do, tell me another lie
I don't wanna know what I know to be true
What I need you to do, tell me another lie

Friday

HAYA MAISHA YAKO SHULE UKUBALI UKATAE.

                                         Mwangalie huyu mdada mdogo sijui uchafu gani 
                                          wanafanyiana na wenzake hapa tena hadharani
                                            jamani maisha ya shule yanachangamoto sana
                                            zaidi ya kuingia darasani na kusoma.
                                                              Pozi ni pozi2 hata uekaaje mwenyewe hapa
                                                               anafurahia sijui kama ungelikuwa mwalimu
                                                               ungempa adhabu gani stahiki kwake.