Saturday

Friday


hebu na wewe jiulize hivi kilimanjaro

itarudi kuwa kama zamani ???

icheki enzi za mwalimu

iko siku kweli majangwa

yatakujakuwa hivi???

ndoto tata

hata hii nayo ipo ila unahela

mtu wangu


hey unamkwanja dinga linasukumwa

mkwanjakiduchu sanantafute

Thursday


ni mzuri wa sura,tabia na mkwanja anao wa kutosha lakini anajiheshemu,jemtoto wa kibongo akizishika na umaarufu si inakuwa noma atakavyotufanyia.......

Monday

kila siku ni siku mpya kwetu je ulishawahi kujiuliza ipi siku ambayo siyo mpya kwako!????