Saturday

P FUNK, MIMS NA JAY MOE NDANI YA COLLABLE MOJA

P funk majani amethibitisha leo hii kupitia Bongo fleva show ya Clouds Fm kuwa anafanya collable na msanii Mimms kutoka Marekani pamoja na Jay moe. "tayari ameshanitumia vocal so kilichobaki ni mimi na Jay moe kuingiza vocal, then tutaituma kule kwaajili ya mastering" amesema P funk...Ngoma hiyo ni beat aliyoitengeneza P funk mwenyewe ndani ya Bongo Records

CHINUA ACHEBE....AMKOMALIA RAPPER 50 CENT....!

DR ALBERT CHINUALUMOGU ACHEBE - NIGERIA THINGS FALL APART NOVEL (1958) - WRITTEN BY CHINUA ACHEBE Ndoto za Rapper Curtis Jackso aka 50 Cent za kuiita movie yake "Things Fall Apart" huenda sistimie coz Mwandishi Maarufu toka Nigeria, Dr Chinua Achebe amempeleka mahakamani kudai fidia Imefunguliwa kuwa baada ya kusikia kuwa 50 Cent ameiita movie yake Things Fall Apart,Chinua Achebe Foundation ilimtafuta movie producer wa 50 cent na kumwambia kuhusu kutumia jina hilo,na kuwa linatokana na novel aliyoiandika Dr. Achebe ya Things Fall Apart 1958 na walikubali kulipa dola milioni 1 kwa Chinua Achebe Foundation kwa kuwa tu 50 Cent alitaka kutumia jina hilo kama tittle ya movie yake
CURTIS JAMES JACKSON III - 50 CENT THINGS FALL APART - 50 CENT MOVIE Lakini ikafunguliwa kuwa Chinua Achebe Foundation ilikataa kuchukua fidia hiyo Coz novel ya Things Fall Apart iliuza zaidi ya copy milioni 8 duniani kote na kutafsiriwa kwa zaidi ya lugha 50 na kumfanya Dr Achebe kuwa 'the most translated African writer of all time' na kuweka historia ya kuwa 'the most read book in modern African literature ' na hakuwa tayari kuiuza tittle hiyo hata kwa dola bilioni 1,na baada ya kuona hivyo ilibidi movie producer na msambazaji wa movie hiyo, Image Entertainment kumshauri 50 Cent kubadili jina la movie hiyo na kuiita “All Things Fall Apart” kwa kuepuka matatizo na Dr Chinua Achebe

Tuesday

J-LO....ATOKA NA ACTOR BRADLEY COOPER...?!!

JENNIFER LOPEZ AKA J-LO (ARTIST/ACTRESS) Jennifer Lopez aka J-Lo ambaye ametemana na baby baba wake,Mark Anthony imefunguliwa kuwa 'anatoka' na Actor Bradley Cooper
BRADLEY COOPER - ACTOR J-Lo na Mark Anthony waliachana mwezi July na inasemekana alipata kitu cha 'romantic dinner' na Actor Bradley Cooper jijini New York Actor Bradley Cooper ame-act funny aka comedy movie ya Hangover ameonekana na J-Lo pande za Per Se Restaurant,na baadaye ilifunguliwa kuwa J-Lo amepata shavu la kuwa starring kwenye remake ya Overboard na labda alikutana na Bradley kumuomba wauze wote sura kwenye movie hiyo

2 PAC SHAKUR....ATIMIZA MIAKA 15 YA KIFO CHAKE...!!

TUPAC AMARU SHAKUR (JUNE 16,1971 - SEPT 7,1996) Leo imetimia miaka 15 ya kifo cha Rapper,Tupac Amaru Shakur aka 2 Pac au Makaveli aliyezaliwa June 16,1971 na kupigwa risasi September 7,1996 na kufariki dunia September 13,1996 2 Pac amepewa heshima kama the father's of West Coast hip-hop,na kumfanya awe the most successful deceased rapper in the game,Na kwa kuthamini na kutambua mchango wake kwenye game,mji wa Herford ulioko nchini Ujerumani uliweka sanamu la 2 Pac Shakur kwenye makumbusho yake ya Marta.... MARTA MUSEUM - HERFORD,GERMANY Mama yake,Afeni Shakur alianzisha Shakur Family Foundation na baadaye kuiita Tupac Amaru Shakur Foundation au TASF mwaka 1997 iliyokua na lengo la kutoa training na support kwa wanafunzi wenye talents na hit song yake ya Dear Mama, ilikua ni moja ya nyimbo 25 zilizoingizwa kwenye National Recording Registry mwaka 2010 na kutajwa Dear Mama ina ujumbe kwa mama wote wanaokabiliwa na changamoyto maishani lakini wanazitunza familia zao na jamii kwa ujumla

Sunday

T.I. Transferred from Halfway House to Undisclosed Location

Only a day after being released from a federal prison, T.I. has hit another snag. The Southern rapper is back in federal custody after being removed from a halfway house.Steve Sadow, Tip’s lawyer, tells The Associated Press that prison officials objected to his client’s use of a tour bus to move from the Federal Correctional Center in Forrest City, Arkansas, to a halfway house in Atlanta. “[The Federal Bureau of Prisons] has moved T.I. to a different facility,” Sadow explained. “There appears to be confusion surrounding the method of transportation.” T.I. had arranged his own travel between the two locations, arriving in a luxury tour bus with his entourage. The U.S. Bureau of Prisons’ website listed the rapper as being “in transit” as of Thursday evening. His location was not disclosed. The 30-year-old MC was released from an Arkansas facility on Wednesday morning, 10 months after he began serving a sentence for a parole violation from a gun conviction. The remainder of his 11-month sentence is to be carried out in a community service center or halfway house in Atlanta. Upon his release, he immediately began filming a new reality TV show for VH1 documenting his return. The 10-episode series is scheduled to start airing December 5 at 10 p.m.

Check Out Lady Gaga's Drag Look at the MTV VMAs

Lady Gaga opened the MTV Video Music Awards with a performance of "You And I" dressed in drag as her male character from the song's video. The transformation was so complete that it sounded strange hearing Gaga's voice coming from the very male character. Gaga's transformation was so complete that the drag look seemed to take fellow pop star Britney Spears offguard as the two met onstage later in the night. With her black wig, unwashed look and loose-fitting white shirt, Gaga had sort of a '60s greaser look reminiscent of Ralph Macchio in The Outsiders. Gaga went on to win the award for Best Video with a Message, remarking during her speech that her contemporaries' videos also had messages.