Saturday


IPENDE KAZI YAKO HATA KAMA VIPI

Tuesday


Niki minja na makalio ya kichina

JADY GAGA

huyu nae anakunya uso hii si balaa

ananyosha nguo au mwili maajabu

Barabara inavutwa maajabu au kweli???????????

UNAKUMBUKA ENZI ZA WAKALI HAWA

mama mwanajeshi akipongezwa na mwanae

ama kweli mama anapendwa zaidi ya watu wote

duniani.ILOVE YOU MAMA

Hapa aliomba tena je alikuwa anomba ninin tena?????

JE kuwa nazo mbili kama alizonazo.

Ama kweli ukiamini hakuna ambacho

kinashindikana kwani siku ya wanawake

dunia ni ilikuwa safi sana kwa jamaa huyu

aliomba awe mwanamke kwa mungu

na kweli akawa mwanamke kamili

kama unavyomwona.

SIKU NJEMA YA AKINAMAMA DUNIANI ILOVE MAMA

HAVE A WONDERFUL WOMEN DAY


Tuesday


FAIDA YA MAKALIO MAKUBWA

WANASAYANSI nchini Uingereza waliofanya utafiti wao katika Chuo Kikuu cha Oxford wamegundua kuwa makalio makubwa yana faida kubwa zaidi kiafya kuliko matumbo makubwa.
Utafiti umeonyesha kuwa makalio na mapaja makubwa huhifadhi mafuta ambayo husaidia mwili kujilinda na magonjwa ya kisukari na magonjwa ya moyo.
"Mafuta ya kwenye makalio na mapaja ni bora kwa afya lakini mafuta mengi ya kwenye tumbo si mazuri kiafya", alisema Dr Konstantinos Manolopoulos.
Dk huyo ni mmoja wa watafiti watatu walioshiriki kwenye utafiti huo ambao matokeo yake yalichapishwa kwenye jarida la International Journal of Obesity.
Watafiti hao walisema mafuta ya kwenye tumbo hutoa tindikali nyingi za mafuta zenye madhara kwa mwili wakati mafuta ya kwenye makalio na mapaja huzuia tindikali za mafuta zenye madhara kuingia kwenye misuli na maini na hivyo kuuepusha mwili na magonjwa ya kisukari na magonjwa ya moyo.
Ingawa mafuta ya kwenye makalio na mapaja huyeyuka taratibu sana lakini mafuta hayo hutoa homoni zenye faida zijulikanazo kama adiponectin ambazo huilinda mishipa ya damu na kusimamia kiwango cha sukari mwilini.
Wanasayansi hao walisema,wanaendelea na utafiti ili kutengeneza dawa za kuufanya mwili uhifadhi mafuta yake kwenye makalio na mapaja ili kupunguza matatizo ya kiafya yanayosababishwa mafuta kujazana kwenye tumbo.
Taarifa ya utafiti huo zimebainisha kwamba,wanawake wenye mapaja au makalio madogo sana wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata matatizo kadhaa ya kiafya kama vile kisukari na magonjwa ya m
Jamani naomba msaada wa tafsiri ya huu msemo, mana hizi lugha za watu nazo utata"YOU LOVE TO HATE THE ONE WHO LOVES THE ONE YOU HATE TO LOVE"

MAISHA BILA UKIMWI YANAWEZEKANA
NINA imani kwamba u mzima na mambo

yako yanakunyookea huku ukiyafurahia maisha

yako ya kimapenzi na yule umpendaye.
Kikubwa ambacho nimekuwa nikisisitiza hasa katika

dunia hii ya sasa, ni watu kujitahidi kuwa na mapenzi ya

kweli kwa wenzi wao,na kuondokana na tamaa zisizokuwa na msingi.
Nasema hivyo kwa sababu, magonjwa ni mengi sana kiasi

kwamba kama hutatulia na mpenzi wako mmoja na

kuangalia ni jinsi gani mnaweza kuishi maisha yenu kwa furaha,

kubaliana na mimi tu kwamba, maisha yako yatakuwa ni mafupi.
Ukimwi uko kila pembe, warembo, mashostito, masista duu,ving'ast,

mapedezjee, mahandsome, na mabrazameni unaowaona huko mtaani wengi wameathirika,ambaye yuko salama ni wewe tu na mpenzi wako.
Tulia na mpenzi wako, ridhika na kile unachokipata kutoka kwake.

Monday


Hii ni filamu mpya kutoka kanda ya ziwa kahama
ambayo ipo mbioni kuingia kwenye soko hapa
Bongo.Muandaaji wa filamu hii anaitwa Wisa Prezdaa
amasema kwamba kwa wakati huu yupo kwenye mazungumzo
na baadhi ya makampuni ambayo yanajihusisha na
usambazaji wa kazi za wasanii na pindi mambo yakiwa tayari
taarifa zitasambazwa.