Friday

Zero Dark Thirty Official Final Trailer (2012) - Kathryn Bigelow Bin Lad...



Muongozaji wa filamu maarufu ya Zero Dark Thirty, Kathryn Bigelow anataraia kuonyesha ujuzi wake katika kutengeneza filamu kupitia kazi yake mpya ambayo inaelezea tukio zima la mchakato ambao ulifanikisha kukamatwa na kuuawa kwa kiongozi wa al Qaeda Osama Bin Laden.Filamu hii itakuwa ikionyesha uchunguzi ambao umekuwa ukifanywa kwa miaka 10 mfululizo ili kujua mienendo ya Bin Laden na jinsi anavyoishi pamoja na timu ya makomandoo ambao walisimama mstari wa mbele hadi kumaliza kazi waliyokuwa wametumwa. Filamu hii itaonyeshwa kwa mara ya kwanza leo katika baadhi ya miji ambayo imechaguliwa na itaachiwa rasmi duniani Januari 11 mwakani.

2 comments:

Anonymous said...

hawa wazungu wanataka shida tena na waislam.Godie

Anonymous said...

wating so much that good film.Pablo