Thursday

NICK MBISH NAE JANA KAPATA KID



Wiki moja baada ya kudondosha ngoma aliyoiita Play boy na ndani yake kuelezea misimamo yako kwamba hawezi lala na dem mmoja mara mbili, rapa Nicky Mbishi amepata mtoto wa kiume.

Mtoto huyo amezaliwa siku moja na `tupac shakur yaani siku ya jana tarehe 16/ June
Leo asubuhi Nicky alituma msg kwa DAWSON na msg yenyewe inasomeka kama ifuatavyo:-
Niaje DAWSON? Yesterday was the day Tupac was born but 4hrs after you announced that my baby boy and my first born Malcom was born 2, so Nicky Mbishi is also Malcom’s Daddy… good Morning!

nikki amezaa na msichana wake ambae pia anasoma nae chuo kimoja kinachoitwa Mbeya Institute of Science And Technology.

No comments: