Saturday

P FUNK, MIMS NA JAY MOE NDANI YA COLLABLE MOJA

P funk majani amethibitisha leo hii kupitia Bongo fleva show ya Clouds Fm kuwa anafanya collable na msanii Mimms kutoka Marekani pamoja na Jay moe. "tayari ameshanitumia vocal so kilichobaki ni mimi na Jay moe kuingiza vocal, then tutaituma kule kwaajili ya mastering" amesema P funk...Ngoma hiyo ni beat aliyoitengeneza P funk mwenyewe ndani ya Bongo Records

No comments: