Thursday

PIPI KUZUNGUKA NCHI 6 NA UMOJA FLYING CARPET.



Mambo,
Mwezi wa pili tarehe 29 nilishiriki katika audition ya Organisation moja ya kimataifa inaitwa Umoja Flying Carpet ambayo ilikuwa inatafuta Vocalist, Dancers and Musicians. Watu 15 ndo waliohitajika na nilibahatika kuwa kati ya waimbaji wanne tuliochaguliwa, binafsi naona kama miujiza kwani sikutarajia kwamba nitaanza kuonekana kimataifa mapema hivi kwani tour hii itaniwezesha kukitangaza kipaji changu nchi mbalimbali kama Uganda, Ethiopia, Mozambique, Norway, Netherlands na South Africa.

Na pia naamini huu ni mwanzo mzuri katika jitihada za kuitangaza bendera ya nchi yangu kwa kuitangaza kupitia kipaji changu

No comments: