Wednesday

Akon amfundisha Justin Bieber njia za kupata madem

Akon amedai kua amempa justin Bieber njia za kupata madem katika collaboration ya ngoma yake mpya...Katika interview yake na OK magazine Akon amesema kua justin bieber atakuepo kwenye Album yake inayofata nakua amempa point za kupata wanawake katika ngoma hiyo chamsingi ni watu kusubiria kusikia ngoma hiyo

No comments: