Tuesday

RIHANNA AJIGONGA TENA KWA CHRISS BROWN


RIHANNA
Rihanna ameanza kujigonga kwa mpenzi wake wa zamaniChris Brown baada ya juzi Ijumaa kumfata kwenye mtandao wa Twitter na Chris Brown naye kumjibu faster....
CHRIS BROWN
RiRi alikua hawasiliani na Chris Brown kwa miaka 2 sasa tangu mwaka 2009, na ni ajabu kwa kumpata coz yeye ana twitter followers kama milioni 5 hivi na baadaye Rihanna akajishitukia na kutupia kwenye twitter kuwa watu wasije wakafikiria vingine coz ni twitter tu na kwa sasa Chris Brown amemaliza tour yake ya nchini Australia na kwa sasa ana-shoot video mpya na Justin bieber iitwayo Next to You jijini Los Angeles

CIARA AMSANUA MPENZI WAKE MPYA...!




CIARA PRINCESS HARRIS AKA CIARA
R&B singer Ciara amefunguka toka moyoni kuwa kwa sasa NBA star,Amar'e Stoudemire anayechezea timu ya New York Knicks,ndio shemeji yetu aka boyfee wake
AMAR'E STOUDEMIRE
Ciara na Amar'e Stoudemire walionekana pande za New York City wakiwa zero distance na kufunguka kuwa kwa sasa yuko kwenye happy time ile mbaya kwenye maisha Amare

ARNOLD SCHWARZNEGGER KUACHANA NA MKEWE


Aliyewahi kuwa gavana wa Carlifornia nchini Marekani kuachana na mkewe Maria,wawili hawa wamedumu kwenye ndoa kwa miaka 25 sasa ndoa yao ilifungwa mwaka 1986.Mpaka sasa wawili hao wamejaaliwa watoto wanne.

Arnold amewahi kunukuliwa akisema If you have the ultimate love for your wife and she has it for you, I think you have a great head start ... That's not to say it won't be difficult sometimes. You go through your ups and downs but you work through it ....sasa sijui nini kimetokea maana hawajasema kilichowafanya kuachana ila wameahidi kuwalea watoto wao pamoja.

Maria ni mpwa wa aliyewahi kuwa raisi wa Marekani na akauwawa Jonn F.Kennedy pia ni mtunzi na amewahi kuwa mtangazaji wa kituo cha tv cha NBC.

Akon Strips Down at Usher Tour Kickoff



Usher is known to be a ladies man, but it was Akon who gave his female fans some eye candy, stripping down during his first show on the second leg of Usher’s “OMG Tour” at the BankAtlantic Center in Sunrise, Florida, on Wednesday (April 27). The bold singer removed his clothing, standing onstage in only a pair of white boxer briefs and socks.

The 21-date trek, which also features openers Tinie Tempah and Dev and The Cataracs in select markets, travels to Toronto, Detroit, and Chicago, before wrapping on June 1 at the Staples Center in Los Angeles.

The “Smack That” hitmaker has set a September 20 date for his oft-delayed album Stadium. His David Guetta-produced record “Angel” can be heard in the new Victoria’s Secret TV commercial and he recently dropped his buzz single “Take It Down Low” featuring Chris Brown.

Wednesday

Kumbe Avril ni msagaji

Imebainika kua Msanii mrembo kutoka Ogopa DJ stable ya kenya anaejulikana kama Avril ambae jina lake la ukweli ni Judith Nyambura Mwangi ni msagaji baada ya picha zake kutoka kwenye mitandao ambazo zinamuonesha mwanadada huyo akiwa anafanya mambo flani na mwanamke mwenzake...Avril ni msanii ambae ameshawahi kushirikishwa na mtu mzima A.Y Kwenye RMX ya track yake inayojitwa "LEO" Pia juzi juzi tu alishinda tunzo ya Teenies Choice huko kenya........






 

. Guys That Make Us Want To Jump The Broom: Romeo Mille

FDiscussionsAdd a DiscussionDiscussion List viewCategoriesPopular ContributorsJaney Godley's Blog
ORUM

DR DRE KUTOA NEW SINLGE NA EMINEM....IJUMAA!


ANDRE ROMELLE YOUNG AKA DR DRE
Andre Romelle Young aka Rapper Dr Dre ataungana tena na Eminem kupiga collabo single ambayo itakua kwenye album ya 3 na ya mwisho iitwayo Detox itakayokua released baadaye mwaka huu
Single itaitwa Die Hard,na itatoka Ijumaa ya May 6,2011na mpaka sasa haijajulikana kuwa Album ya Detox itatoka lini ila Dr Dre ameshatoa singles 3 kali,Kush FT Snoop Dogg na Akon,I need a doctor FT Eminem na Skylar Grey na Die Hard Ft Eminem
....Single ya I Need a Doctor,kwa sasa iko No. 16 okwenye Billboard Hot 100

JAY-Z KUMPIGA TAFU....ASHLEY COLE....!


JAY-Z
Rapper Jay-Z amekubali kumsaidia Mchezaji wa Timu ya taifa ya England na Chelsea,Ashley Cole kuanzishaa record label
ASHLEY COLE
Mke wa zamani wa Ashley Cole,Cheryl Cole kuwa Ashley Cole anatarajiwa kujiingiza kwenye biashara ya muziki baada ya kumaliza muda wake wa kucheza mpira kuisha na Boss wa Roc Nation amekubali kumsaidia
CHERYL COLE
Jay-Z na Ashley Cole walikutana mwaka 2009, na katika miezi ya hivi karibuni agent wa Ashley Cole amekuwa na mawasiliano ya karibu na management ya Jay kwa ajili ya kuangalia uwezekano wa jinsi gani wa kuifanya hiyo deal
Jay-Z amekua karibu sana na michezo kwa sasa ni mmiliki mwenza wa timu inayocheza ligi ya NBA ya Marekani,New Jersey Nets


JAY-Z
Rapper Jay-Z amekubali kumsaidia Mchezaji wa Timu ya taifa ya England na Chelsea,Ashley Cole kuanzishaa record label
ASHLEY COLE
Mke wa zamani wa Ashley Cole,Cheryl Cole kuwa Ashley Cole anatarajiwa kujiingiza kwenye biashara ya muziki baada ya kumaliza muda wake wa kucheza mpira kuisha na Boss wa Roc Nation amekubali kumsaidia
CHERYL COLE
Jay-Z na Ashley Cole walikutana mwaka 2009, na katika miezi ya hivi karibuni agent wa Ashley Cole amekuwa na mawasiliano ya karibu na management ya Jay kwa ajili ya kuangalia uwezekano wa jinsi gani wa kuifanya hiyo deal
Jay-Z amekua karibu sana na michezo kwa sasa ni mmiliki mwenza wa timu inayocheza ligi ya NBA ya Marekani,New Jersey Nets

FUNGUKA NA MAMBO 10 YA OSAMA BIN LADEN....!


 


OSAMA BIN LADEN (10 MARCH 1957 - 02 MAY 2011)
1- Osama bin Mohammed bin Awad bin Laden aka Osama bin Laden alizaliwa tarehe 10 March,1957 Riyadh-Saudi Arabia,akiwa ni mtoto wa 17 kati watoto 57 kuzaliwa toka kwa baba yake Mohammad bin Laden,tajiri-bilionea na mama yake Hamida Al-Attas anayetokea Syria alikua ni mke wa 10 kwa baba yake!
2 - Baba yake Mohammed bin Laden alifariki kwenye ajali ya ndege mwaka 1967,baada ya pilot wa kimarekani kufanya makosa wakati wa kutua na kumuachia Osama Bin Laden urithi wa dola milioni 80 akiwa tu na miaka 11
3 - Osama Bin Laden alikua ni muanzilishi na kiongozi wa kundi la Al-Qaeda mwezi August 1988 - 1989na alisomea Economics na business Administration kwenye Chuo cha King Abdulaziz na inasemekana kuwa alipata degree ya Civil Engineering in 1979,au degree ya Public Administration mwaka 1981!
4 - Kuanzia mwaka 2002 Osama bin Laden alioa wake 4 na anakadiriwa kuwa na watoto 25 mpaka 26!
5 - Jeshi la Marekani lilimtafuta osama Bin Laden kwa miaka 10,lakini kikosi cha watu 20–25 toka US Navy Seals aka Seal Team Six lililoitwa 'Geromino' liliwachukua dakika 40 tu kabla ya kumuua kwa kumpiga risasi kichwani na kifuani!
6 - Wakati wanajeshi wa Marekani wanavamia nyumbani kwa Osama,Rais Barack Obama alikua anaangalia live kupitia real time video,mishe mishe zote za kuuwawa kwake!
7- Nyumba aliyokua anakaa pande za Abbottabad ilikua ina thamani ya dola milioni 1 za kimarekani,lakini eneo lililokuepo ilikua ni nyumba mbaya kati ya 40 zilizokuepo pande hizo,usioitegemea kama inaweza ikawa makazi ya mtu,isiyokua na mawasiliano ya simu wala internet!
8 - Majirani zake pande za Abbottabadd walikua hawajui kuwa Osama alikua anaishi eneo hilo coz nyumbani kwake kulikua kumetulia sana,na baada ya kuona kuwa kusikia milio ya risasi,waliamua kuwasha TV na kushangaa kuona Rais Obama akitangaza kuwa Osama ameuliwa eneo lao wanaloishi!
9 - Baada ya kutangazwa kuwa ameuwawa,mtandao wa twetter uliweka historia,Jumapili ya tarehe 01 May,2011 kwa kupata tweeter sms 3,440 kwa sekunde!
10 - Baada ya kutangaza kuwa ameuwawa Rais Obama aliandaa dinner na alipewa 'standing ovation' (wakati anaingia watu walikua wameshakaa na wakasimama na kumshangilia kwa kumpigia makofi) kwenye ikulu ya White House na kuwapongeza mashujaa waliomuua Osama Bin Laden

LADY GAGA APATA KAZI YA UPAPARAZI....!


 


Mbali na kuimba,kucheza na kuvaa nguo za ajabu ajabu na kuwavutia designers kadhaa,Stefani Joanne Angelina Germanotta aka Lady Gaga anatarajiwa kujiunga na V Magazine kama muandishi na jarida la kwanza litatoka May 12,2010
Na kwa sasa Lady Gaga na V Magazine wametangaza tender ya kutengeneza artwork kwa ajili ya jarida hilo

BIRDMAN AKANUSHA KUMUHITAJI....SOULJA BOY!

 


BRYAN WILLIAMS AKA BIRDMAN - CASH MONEY,CEO
Baada ya DeAndre Cortez Way aka Rapper Soulja Boy Tell Em kufunguka hivi karibuni kuwa alikutana na Cash Money CEO Bryan Williams aka baby aka Birdman kuwa huenda akafanya maamuzi mengi baada ya deal yake na Interscope kuisha,so watu wengi walikua wanavumisha kuwa Cash Money CEO,Birdman anataka kum-sign kwenye label ya Cash Money...
DEANDRE CORTEZ WAY AKA SOULJA BOY
Birdman amefunguka na kukataa habari hizo na Birdman alitupia kwenye twitter account yake kuwa,alipokutana na Soulja Boy hajaongea deal kama hiyo na hizo habari ni za uongo na uzushi aka umbea...

MARIAH CAREY...AJIFUNGUA SALAMA TWINS....!

....


....MARIAH CAREY NA HUSBAND WAKE NICK CANNON....!
.April 30 itakua ni siku maalum kwa Mariah Carey na Nick Cannon,coz ilikua ni siku ya kusherehekea miaka 3 ya ndoa yao,tangu 30 April 2008 walipofunga ndoa pande za Bahamas...
....WATOTO WA MARIAH NA NICK CANNON....!
Lakini furaha imeongezeka zaidi,Jumamosi ya tarehe 30 April 2011 mnamo saa 12:07 za mchana kwa saa za Marekani jijini Los Angeles baada ya Mariah Carey kujifungua watoto 2 aka twins,baby girl alizaliwa kwanza then baby boy alifuata na baada ya kuzaa salama na ili kukamilisha furaha Mariah Carey alikua anasikiliza wimbo wake wa We Belong Together

Tuesday

VIPI UNAMTAMBUA MSICHANA HUYU MDADA....?


SEAN KINGSTON KUPIGA SHOW UGANDA....JULY 2011!

 


Entertainment Indusrty ya nchini Uganda inazidi kupanuka,hasa baada ya wasanii wa huko kuwaleta sana wasanii toka nje ya Afrika kwenda kupiga show kwenye jijini la Kampala kwenye uzinduzi wa album zao na showz nyingine!
Kwa sasa msanii toka Jamaica,Sean Kingston anatarajiwa kupiga show itakayoitwa Street Jam itakayofanyika tarehe 29 July,2011 na kutarajiwa kudondosha hit songs zaki kali kama Me Love,Face Drop,Beautiful Girls na nyingine kibao....Na ataletwa chini ya udhamini wa The East Africa’s leading Talent Agency toka Uganda iitwayo Talent 256 kwa sasa Talent Africa

Sunday

Je ni kweli kua 50cent na Ciara wana Sex Tape?

                                                                  
Baada ya uvumi uliosemekana na kuja kua kweli kua Ray J na Kim Kardashian wana na Sex Tape na hatimae ikaja kutoka kweli na kusambaa all over the world….sasa sasahivi umezuka Uvumi mpyaaaa kua kiongozi wa kundi la G.Unit yani 50cent nae ana sex tape ambayo inamuonesha akiwa na mwanadada ambae ilishawahi kusemekana kua walikua wapenzi hapa namzungumzia Ciara mbali na hayo yote mtandao huo huo uliotangaza kua una sex tape ya 50cent na Ciara yani wakiwa wanafanya mambo yao ila inavyosemekana kua mtu mzima haonekani kwenye movie hiyo ila watu waliweza kuujua mwili wake japokua kichwa kilikua hakionekani ila Ciara ndo anaonekana LIVE! bila chenga na pia si hayo tu jana umetangaza kua kuna Sex Tape mpyaaaaaaa ya mwanadada ambae alikua ni mmoja kati ya waanzilishi wa kundi la Destiny's Child mwanadada Kelly Rowland…..mtandao huo unaojulikana kama Mediatakeout.com ni mtandao ambao umeshawahi kutoa sex tapes za Ma-star wengi sana duniani sasa je na hizi zitakua za ukweli nini?

RUMOURS....DRAKE AJITOA YOUNG MONEY?

 


DRAKE
Kuna rumors kuwa Rapper toka Canada,Aubrey Drake Graham aka Drake kuwa amefukuzwa Young Money baada ya kusemekana kuwa alizinguana na mabosi wake Baby na Lil Wayne
LIL WAYNE NA BIRDMAN
Inasemekana kuwa Drake alikua anadai mkwanja wake uliopita Young Money na na pia kudai mkwanja zaidi kutokana na mchango wake alioutoa hapo Young Money!
 

MAURICE KIRYA KUPIGA SHOW NA JORDIN SPARKS!


MAURICE KIRYA
Msanii Maurice Kirya toka Uganda anaendelea kung'ara kimataifa kila kukicha,kwani baada ya kushinda tuzo za Radio France International Discoveries Award( RFI) anatarajiwa ku-perform pamoja na model na muigizaji na artist,Jordin Sparks
JORDIN SPARKS
Show itafanyika pande za Posh hotel jijini Arizona,Marekani.Na Maurice Kirya alifunguka kuwa “anajisikia furaha sana kupata shavu hilo,coz Jordin Sparks ni mmoja wa wasanii wakali duniani kwa sasa,coz tangu aliposhinda American Idol ana hits kali kama Battle field,No Air ambayo amefanya na mkali wa RnB Chris Brown

FANTASIA....APIGA SHOW PEKU PEKU!



....HAPA AKIWA NA VIATU KAMA KAWA,SHOW INAENDELEA!
Fantasia Monique Barrino,Msanii wa R&B na Soul aka Fantasia hivi karibuni alifanya kituko cha mwaka baada ya ku-perform kwenye concert akiwa na viatu na baadaye kuvivua na kubaki peku peku
Fantasia alikua anapiga show pande za Horseshoe Casino,Indiana na kuamua kuwapa fans wake zawadi ya kusikia sauti yake tamu na pia nafasi ya kuiona miguu yake kwa kumuita bouncer amvue viatu...duuuh!
....BAUNSA AKIMVUA VIATU!
....KAAZI KWELI KWEEELI!

2 Lil Wayne Security Guards Arrested For Impersonating Police Officers

Two Lil Wayne rent-a-cops are in trouble today for impersonating a public servant. Ronald Andre Harrod, 43, and Larry Lee Richardson, 23, are accused of wearing police-type uniforms and gun belts as they drove a caravan of tour buses from Assembly Hall in Indianapolis to a local nightclub according to WISH-TV.

Police said Richardson was leading the caravan in an unmarked Crown Victoria with flashing red and blue lights and sirens blaring at about 1:40 a.m. Wednesday (April 13). Harrod was following the caravan in a Dodge Intrepid with red and blue lights flashing.


Basically these two got gassed up they were escorting Lil Wayne and pretended to be Starsky and Hutch for a night.

UKIMYA WA MATONYA KUMBE YUKO SHULE ANASOMA KENYA.


Watu walikuwa wakijiuliza Matonya yuko wapi mbona kimya, hatimaye nimefumana nae maeneo fulani na kuniambia kuwa alikuwa kwenye tour huko Mombasa Kenya. Ila wakati yupi Nairobi alikuwa studio akitengeneza wimbo na msanii wa huko huko Nairobi anajulikana kwa jina la Nonini, mbali na Nairobi pia ameshatengeneza biti kwa producer Dunga na akirudi anaishughulikia na wimbo huo ameupa jina la "UTAKWENDA KULA ULIPOPELEKA MBOGA"

Pia Matonya amenidokeza kwa sasa anapiga kitabu kule Kenya ila amesema ni mapema sana kusema anachokisomea mpaka akipata cheti ndio atasema alikuwa anasomea nini. Kwahiyo amewaomba mashabiki wake kwa sasa wawe wapole tu mnyamwezi wenu atakuwa kitaani muda si mrefu.

Wednesday

BEYONCE KNOWLES KUTUMIA DANCERS TOKA AFRICA!



Beyonce Knowles aka shemeji kwa Jay-Z aka Queen B inasemekana amewakodisha dancers wapatao 200 toka Africa kwa ajili ya shooting ya video yake ya 4
BEYONCE AKIFANYA MAZOEZI NA DANCERS TOKA AFRICA
Dancers hao kwa sasa wako jijini Los Angeles wakimfundisha Beyonce kucheza kwa swagga za kiafria,ili apate kuzijua na pia ku shoot nae video yake mpya inayosemekana itaitwa Girl na video hiyo itatoka mwezi June mwaka huu na hivi karibuni akipiga picha aka photoshoot kwa ajili ya album yake jijini New Jersey,alipiga picha na pozi kibao akiwa kwenye mavazi au nguo 70 tofauti na March 28,2011 alitangaza kuwa meneja na baba yake Mathew Knowles kuwa sio meneja wake tena

MKALI WA RnB TOKA TANZANIA....Q JAY AOKOKA!


JOSEPH KELVIN MAPUNDA AKA Q-JAY
Mkali wa RnB Tanzania ambaye kwa sasa anaendelea kula matunda ya ndoa,Joseph Kelvin Mapunda aka Q-Jay kwa sasa ameokoka na kuamua kumfuata yesu!
Q-Jay amekuwa akitolea nje concert kibao ambazo anaalikwa kwa ajili ya kufanya show,kutokana na imani yake mpya aliyonayo sasa,na amefunguka kuwa “mziki niliokua nafanya ulikua ni wa dunia na ningewashauri wasanii wenzangu wote wanaoimba nyimbo za dunia kuufata wokovu na kuachana nazo,kwa sasa nimepumzika kufanya shughuli za mziki lakini kuanzia mwezi wa sita nitaanza kurekodi mziki yangu mipya ya kumtukuza mungu yaani gospel na natarajia kutoa album”....alimalizia Q Jay kwa sauti pole ya kilokole,akifuata nyayo za Stara Thomas,K Basil na Renee Lamira!
....ENZI ZA WAKALI KWANZA...Q-JAY NA MAKAMUA WAKIFANYA MIZIKI YA KIDUNIA!
Q-Jay alianza 'muziki wa kidunia' akiwa na kundi la RnB,Wakali Kwanza na kina Joslin,Makamua na wengine kibao na mara ya mwisho walitoa album ya pamoja na Makamua wakiwa chini ya MJ Records na nyimbo zake za kidunia kama Sifai featuring Joslin,na collabo kama Kitu Gani,Nakupa Sifa alizinukisha vilivyo