Rapper Jay-Z amekubali kumsaidia Mchezaji wa Timu ya taifa ya England na Chelsea,Ashley Cole kuanzishaa record label ASHLEY COLE Mke wa zamani wa Ashley Cole,Cheryl Cole kuwa Ashley Cole anatarajiwa kujiingiza kwenye biashara ya muziki baada ya kumaliza muda wake wa kucheza mpira kuisha na Boss wa Roc Nation amekubali kumsaidia CHERYL COLE Jay-Z na Ashley Cole walikutana mwaka 2009, na katika miezi ya hivi karibuni agent wa Ashley Cole amekuwa na mawasiliano ya karibu na management ya Jay kwa ajili ya kuangalia uwezekano wa jinsi gani wa kuifanya hiyo dealJay-Z amekua karibu sana na michezo kwa sasa ni mmiliki mwenza wa timu inayocheza ligi ya NBA ya Marekani,New Jersey Nets
Rapper Jay-Z amekubali kumsaidia Mchezaji wa Timu ya taifa ya England na Chelsea,Ashley Cole kuanzishaa record label
ASHLEY COLE
Mke wa zamani wa Ashley Cole,Cheryl Cole kuwa Ashley Cole anatarajiwa kujiingiza kwenye biashara ya muziki baada ya kumaliza muda wake wa kucheza mpira kuisha na Boss wa Roc Nation amekubali kumsaidia
CHERYL COLE
Jay-Z na Ashley Cole walikutana mwaka 2009, na katika miezi ya hivi karibuni agent wa Ashley Cole amekuwa na mawasiliano ya karibu na management ya Jay kwa ajili ya kuangalia uwezekano wa jinsi gani wa kuifanya hiyo deal
Jay-Z amekua karibu sana na michezo kwa sasa ni mmiliki mwenza wa timu inayocheza ligi ya NBA ya Marekani,New Jersey Nets

No comments:
Post a Comment