nishakuambia kwani jamaa aling'aniana na
mke wa mtu akaja Pastor kapiga sala mpaka basi
wapi then akaja mwenye mali akadai apewe elfu 20
ya Kenya ndo awagandue,jamaa nje wakaanza kuchanga
mkwanja ila kwa huruma baada ya mama mmoja
kumwomba sana akawaachanishaaaaaaaa.........
Aibu ya mwaka jamaa ikabidi aende chooo
kuangalia kama kitu yake iko poa au imeondolewa..
No comments:
Post a Comment