Msanii Maurice Kirya toka Uganda anaendelea kung'ara kimataifa kila kukicha,kwani baada ya kushinda tuzo za Radio France International Discoveries Award( RFI) anatarajiwa ku-perform pamoja na model na muigizaji na artist,Jordin Sparks
JORDIN SPARKS
Show itafanyika pande za Posh hotel jijini Arizona,Marekani.Na Maurice Kirya alifunguka kuwa “anajisikia furaha sana kupata shavu hilo,coz Jordin Sparks ni mmoja wa wasanii wakali duniani kwa sasa,coz tangu aliposhinda American Idol ana hits kali kama Battle field,No Air ambayo amefanya na mkali wa RnB Chris Brown
No comments:
Post a Comment