....HAPA AKIWA NA VIATU KAMA KAWA,SHOW INAENDELEA!
Fantasia Monique Barrino,Msanii wa R&B na Soul aka Fantasia hivi karibuni alifanya kituko cha mwaka baada ya ku-perform kwenye concert akiwa na viatu na baadaye kuvivua na kubaki peku peku
Fantasia alikua anapiga show pande za Horseshoe Casino,Indiana na kuamua kuwapa fans wake zawadi ya kusikia sauti yake tamu na pia nafasi ya kuiona miguu yake kwa kumuita bouncer amvue viatu...duuuh!
No comments:
Post a Comment