Entertainment Indusrty ya nchini Uganda inazidi kupanuka,hasa baada ya wasanii wa huko kuwaleta sana wasanii toka nje ya Afrika kwenda kupiga show kwenye jijini la Kampala kwenye uzinduzi wa album zao na showz nyingine!
Kwa sasa msanii toka Jamaica,Sean Kingston anatarajiwa kupiga show itakayoitwa Street Jam itakayofanyika tarehe 29 July,2011 na kutarajiwa kudondosha hit songs zaki kali kama Me Love,Face Drop,Beautiful Girls na nyingine kibao....Na ataletwa chini ya udhamini wa The East Africa’s leading Talent Agency toka Uganda iitwayo Talent 256 kwa sasa Talent Africa
No comments:
Post a Comment