Baada ya DeAndre Cortez Way aka Rapper Soulja Boy Tell Em kufunguka hivi karibuni kuwa alikutana na Cash Money CEO Bryan Williams aka baby aka Birdman kuwa huenda akafanya maamuzi mengi baada ya deal yake na Interscope kuisha,so watu wengi walikua wanavumisha kuwa Cash Money CEO,Birdman anataka kum-sign kwenye label ya Cash Money...
DEANDRE CORTEZ WAY AKA SOULJA BOY
Birdman amefunguka na kukataa habari hizo na Birdman alitupia kwenye twitter account yake kuwa,alipokutana na Soulja Boy hajaongea deal kama hiyo na hizo habari ni za uongo na uzushi aka umbea...
No comments:
Post a Comment