....
….April 30 itakua ni siku maalum kwa Mariah Carey na Nick Cannon,coz ilikua ni siku ya kusherehekea miaka 3 ya ndoa yao,tangu 30 April 2008 walipofunga ndoa pande za Bahamas...
....WATOTO WA MARIAH NA NICK CANNON....!
Lakini furaha imeongezeka zaidi,Jumamosi ya tarehe 30 April 2011 mnamo saa 12:07 za mchana kwa saa za Marekani jijini Los Angeles baada ya Mariah Carey kujifungua watoto 2 aka twins,baby girl alizaliwa kwanza then baby boy alifuata na baada ya kuzaa salama na ili kukamilisha furaha Mariah Carey alikua anasikiliza wimbo wake wa We Belong Together
No comments:
Post a Comment