Beyonce
Knowles aka shemeji kwa Jay-Z aka Queen B inasemekana amewakodisha
dancers wapatao 200 toka Africa kwa ajili ya shooting ya
video yake ya 4
BEYONCE AKIFANYA MAZOEZI NA DANCERS TOKA AFRICA
Dancers
hao kwa sasa wako jijini Los Angeles wakimfundisha Beyonce
kucheza kwa swagga za kiafria,ili apate kuzijua na pia ku shoot nae
video yake mpya inayosemekana itaitwa Girl na video hiyo
itatoka mwezi June mwaka huu na hivi karibuni akipiga picha
aka photoshoot kwa ajili ya album yake jijini New
Jersey,alipiga picha na pozi kibao akiwa kwenye mavazi au
nguo 70 tofauti na March 28,2011 alitangaza kuwa meneja na baba yake Mathew Knowles kuwa sio meneja wake tena
No comments:
Post a Comment