R&B singer Ciara amefunguka toka moyoni kuwa kwa sasa NBA star,Amar'e Stoudemire anayechezea timu ya New York Knicks,ndio shemeji yetu aka boyfee wake
AMAR'E STOUDEMIRE
Ciara na Amar'e Stoudemire walionekana pande za New York City wakiwa zero distance na kufunguka kuwa kwa sasa yuko kwenye happy time ile mbaya kwenye maisha Amare
Ingekuwa bongo ningejitahidi kushow love kwake ili niwe naye kaka. Uongo? Hahahaha mtoto anatisha kinoma mwenyewe c umemuona hapendi masharobaro anataka wa2 kama cc.
1 comment:
Ingekuwa bongo ningejitahidi kushow love kwake ili niwe naye kaka. Uongo? Hahahaha mtoto anatisha kinoma mwenyewe c umemuona hapendi masharobaro anataka wa2 kama cc.
Post a Comment