Aliyewahi kuwa gavana wa Carlifornia nchini Marekani kuachana na mkewe Maria,wawili hawa wamedumu kwenye ndoa kwa miaka 25 sasa ndoa yao ilifungwa mwaka 1986.Mpaka sasa wawili hao wamejaaliwa watoto wanne.
Arnold amewahi kunukuliwa akisema If you have the ultimate love for your wife and she has it for you, I think you have a great head start ... That's not to say it won't be difficult sometimes. You go through your ups and downs but you work through it ....sasa sijui nini kimetokea maana hawajasema kilichowafanya kuachana ila wameahidi kuwalea watoto wao pamoja.
No comments:
Post a Comment