Thursday


King wa filamu za kibabe pande za Hollywood, Marekani, Arnold Schwarzenegger, aliyewahi kukalia kiti cha gavana wa jimbo la California ameichakachua ndoa yake baada kuanguka dhambini na ‘bekitatu’ Midred Patricia Baena. Stori kutoka unyamwezini zinadai kuwa ndoa ya mbabe huyo wa filamu la ‘Terminator’ iliyodumu kwa miaka 25 ilifikia tamati wiki iliyopita kutokana na kitendo chake kinachodaiwa kuwa cha kipuuzi zaidi kwa kumla uroda na kumpa kibendi hausigeli wake huyo.

Licha ya jitihada kubwa aliyoifanya Schwarzenegger kwa kunywea na kumuomba msamaha mkewe Maria Shriver pamoja na familia yake yote lakini alijikuta akiangukia pua na hatimaye familia yake kusambaratika vipande vipande.

Mapema jana mbele ya wanahabari mkali huyo aliyeng’arisha nyota ulimwenguni kupitia filamu kambambe la 'Commando' alikiri kuwa sababu ya kuvunjika kwa ndoa yao ni mtoto wa nje aliyezaa na bekitatu huyo miaka 10 iliyopita, jambo ambalo limeiacha dunia kwenye mshangao mkubwa.

Mildred Patricia Baena kwa miaka 20 alikuwa akifanya kazi za ndani nyumbani kwa mbabe huyo na alikuwa akipokea mshahara mzuri wa dola 1,200 sasa ana miaka 50 na ameshastaafu kazi na aliwahi kuwaambia marafiki zake kuwa alikuwa akifanya mapenzi na Arnold bila ya kutumia kinga Alipopata ujauzito hakumwambia Arnold ambaye baadae alikuja kugundua baada ya mtoto huyo wa kiume kuzaliwa na kufuatia kugundulika kwa siri hizo za ndani, mke wa Arnold,Maria Shriver mwenye umri wa miaka 55, ametangaza kuwa atatoboa siri zote atakapoenda kwenye shoo ya Oprah Winfrey baadae mwaka huu so usiikose endelea kufuatia hapa hapa G5 utaijua siku hiyo.



3. Picha ambayo T-pain kapigwa juzi kati na mwanadada Keisha cole wakiwa club imeanza kuleta utata, Kwenye picha wanaonekana wakiwa wamekaa huku wamekumbatiana alafu mwanadada Keisha cole kashika madola kibaoooo….!! Alafu kidizaini kama wanataka kukiss hivi…



Sasa utata umeanza baada ya T-pain kuulizwa kuusu ile picha…, Jamaa akaanza kupaniki mbayaaa yani…!! Na kusema kuwa wao ni marafiki tuuuu wala awafanyi mapenzi...., na kuwa anapenda jinsi mwanadada anavyotupia na yupo independent .. Na kampatia a.k.a anamuita K-Pain…

Tuesday

RIHANNA AJIGONGA TENA KWA CHRISS BROWN


RIHANNA
Rihanna ameanza kujigonga kwa mpenzi wake wa zamaniChris Brown baada ya juzi Ijumaa kumfata kwenye mtandao wa Twitter na Chris Brown naye kumjibu faster....
CHRIS BROWN
RiRi alikua hawasiliani na Chris Brown kwa miaka 2 sasa tangu mwaka 2009, na ni ajabu kwa kumpata coz yeye ana twitter followers kama milioni 5 hivi na baadaye Rihanna akajishitukia na kutupia kwenye twitter kuwa watu wasije wakafikiria vingine coz ni twitter tu na kwa sasa Chris Brown amemaliza tour yake ya nchini Australia na kwa sasa ana-shoot video mpya na Justin bieber iitwayo Next to You jijini Los Angeles

CIARA AMSANUA MPENZI WAKE MPYA...!




CIARA PRINCESS HARRIS AKA CIARA
R&B singer Ciara amefunguka toka moyoni kuwa kwa sasa NBA star,Amar'e Stoudemire anayechezea timu ya New York Knicks,ndio shemeji yetu aka boyfee wake
AMAR'E STOUDEMIRE
Ciara na Amar'e Stoudemire walionekana pande za New York City wakiwa zero distance na kufunguka kuwa kwa sasa yuko kwenye happy time ile mbaya kwenye maisha Amare

ARNOLD SCHWARZNEGGER KUACHANA NA MKEWE


Aliyewahi kuwa gavana wa Carlifornia nchini Marekani kuachana na mkewe Maria,wawili hawa wamedumu kwenye ndoa kwa miaka 25 sasa ndoa yao ilifungwa mwaka 1986.Mpaka sasa wawili hao wamejaaliwa watoto wanne.

Arnold amewahi kunukuliwa akisema If you have the ultimate love for your wife and she has it for you, I think you have a great head start ... That's not to say it won't be difficult sometimes. You go through your ups and downs but you work through it ....sasa sijui nini kimetokea maana hawajasema kilichowafanya kuachana ila wameahidi kuwalea watoto wao pamoja.

Maria ni mpwa wa aliyewahi kuwa raisi wa Marekani na akauwawa Jonn F.Kennedy pia ni mtunzi na amewahi kuwa mtangazaji wa kituo cha tv cha NBC.

Akon Strips Down at Usher Tour Kickoff



Usher is known to be a ladies man, but it was Akon who gave his female fans some eye candy, stripping down during his first show on the second leg of Usher’s “OMG Tour” at the BankAtlantic Center in Sunrise, Florida, on Wednesday (April 27). The bold singer removed his clothing, standing onstage in only a pair of white boxer briefs and socks.

The 21-date trek, which also features openers Tinie Tempah and Dev and The Cataracs in select markets, travels to Toronto, Detroit, and Chicago, before wrapping on June 1 at the Staples Center in Los Angeles.

The “Smack That” hitmaker has set a September 20 date for his oft-delayed album Stadium. His David Guetta-produced record “Angel” can be heard in the new Victoria’s Secret TV commercial and he recently dropped his buzz single “Take It Down Low” featuring Chris Brown.

Wednesday

Kumbe Avril ni msagaji

Imebainika kua Msanii mrembo kutoka Ogopa DJ stable ya kenya anaejulikana kama Avril ambae jina lake la ukweli ni Judith Nyambura Mwangi ni msagaji baada ya picha zake kutoka kwenye mitandao ambazo zinamuonesha mwanadada huyo akiwa anafanya mambo flani na mwanamke mwenzake...Avril ni msanii ambae ameshawahi kushirikishwa na mtu mzima A.Y Kwenye RMX ya track yake inayojitwa "LEO" Pia juzi juzi tu alishinda tunzo ya Teenies Choice huko kenya........






 

. Guys That Make Us Want To Jump The Broom: Romeo Mille

FDiscussionsAdd a DiscussionDiscussion List viewCategoriesPopular ContributorsJaney Godley's Blog
ORUM

DR DRE KUTOA NEW SINLGE NA EMINEM....IJUMAA!


ANDRE ROMELLE YOUNG AKA DR DRE
Andre Romelle Young aka Rapper Dr Dre ataungana tena na Eminem kupiga collabo single ambayo itakua kwenye album ya 3 na ya mwisho iitwayo Detox itakayokua released baadaye mwaka huu
Single itaitwa Die Hard,na itatoka Ijumaa ya May 6,2011na mpaka sasa haijajulikana kuwa Album ya Detox itatoka lini ila Dr Dre ameshatoa singles 3 kali,Kush FT Snoop Dogg na Akon,I need a doctor FT Eminem na Skylar Grey na Die Hard Ft Eminem
....Single ya I Need a Doctor,kwa sasa iko No. 16 okwenye Billboard Hot 100

JAY-Z KUMPIGA TAFU....ASHLEY COLE....!


JAY-Z
Rapper Jay-Z amekubali kumsaidia Mchezaji wa Timu ya taifa ya England na Chelsea,Ashley Cole kuanzishaa record label
ASHLEY COLE
Mke wa zamani wa Ashley Cole,Cheryl Cole kuwa Ashley Cole anatarajiwa kujiingiza kwenye biashara ya muziki baada ya kumaliza muda wake wa kucheza mpira kuisha na Boss wa Roc Nation amekubali kumsaidia
CHERYL COLE
Jay-Z na Ashley Cole walikutana mwaka 2009, na katika miezi ya hivi karibuni agent wa Ashley Cole amekuwa na mawasiliano ya karibu na management ya Jay kwa ajili ya kuangalia uwezekano wa jinsi gani wa kuifanya hiyo deal
Jay-Z amekua karibu sana na michezo kwa sasa ni mmiliki mwenza wa timu inayocheza ligi ya NBA ya Marekani,New Jersey Nets


JAY-Z
Rapper Jay-Z amekubali kumsaidia Mchezaji wa Timu ya taifa ya England na Chelsea,Ashley Cole kuanzishaa record label
ASHLEY COLE
Mke wa zamani wa Ashley Cole,Cheryl Cole kuwa Ashley Cole anatarajiwa kujiingiza kwenye biashara ya muziki baada ya kumaliza muda wake wa kucheza mpira kuisha na Boss wa Roc Nation amekubali kumsaidia
CHERYL COLE
Jay-Z na Ashley Cole walikutana mwaka 2009, na katika miezi ya hivi karibuni agent wa Ashley Cole amekuwa na mawasiliano ya karibu na management ya Jay kwa ajili ya kuangalia uwezekano wa jinsi gani wa kuifanya hiyo deal
Jay-Z amekua karibu sana na michezo kwa sasa ni mmiliki mwenza wa timu inayocheza ligi ya NBA ya Marekani,New Jersey Nets

FUNGUKA NA MAMBO 10 YA OSAMA BIN LADEN....!


 


OSAMA BIN LADEN (10 MARCH 1957 - 02 MAY 2011)
1- Osama bin Mohammed bin Awad bin Laden aka Osama bin Laden alizaliwa tarehe 10 March,1957 Riyadh-Saudi Arabia,akiwa ni mtoto wa 17 kati watoto 57 kuzaliwa toka kwa baba yake Mohammad bin Laden,tajiri-bilionea na mama yake Hamida Al-Attas anayetokea Syria alikua ni mke wa 10 kwa baba yake!
2 - Baba yake Mohammed bin Laden alifariki kwenye ajali ya ndege mwaka 1967,baada ya pilot wa kimarekani kufanya makosa wakati wa kutua na kumuachia Osama Bin Laden urithi wa dola milioni 80 akiwa tu na miaka 11
3 - Osama Bin Laden alikua ni muanzilishi na kiongozi wa kundi la Al-Qaeda mwezi August 1988 - 1989na alisomea Economics na business Administration kwenye Chuo cha King Abdulaziz na inasemekana kuwa alipata degree ya Civil Engineering in 1979,au degree ya Public Administration mwaka 1981!
4 - Kuanzia mwaka 2002 Osama bin Laden alioa wake 4 na anakadiriwa kuwa na watoto 25 mpaka 26!
5 - Jeshi la Marekani lilimtafuta osama Bin Laden kwa miaka 10,lakini kikosi cha watu 20–25 toka US Navy Seals aka Seal Team Six lililoitwa 'Geromino' liliwachukua dakika 40 tu kabla ya kumuua kwa kumpiga risasi kichwani na kifuani!
6 - Wakati wanajeshi wa Marekani wanavamia nyumbani kwa Osama,Rais Barack Obama alikua anaangalia live kupitia real time video,mishe mishe zote za kuuwawa kwake!
7- Nyumba aliyokua anakaa pande za Abbottabad ilikua ina thamani ya dola milioni 1 za kimarekani,lakini eneo lililokuepo ilikua ni nyumba mbaya kati ya 40 zilizokuepo pande hizo,usioitegemea kama inaweza ikawa makazi ya mtu,isiyokua na mawasiliano ya simu wala internet!
8 - Majirani zake pande za Abbottabadd walikua hawajui kuwa Osama alikua anaishi eneo hilo coz nyumbani kwake kulikua kumetulia sana,na baada ya kuona kuwa kusikia milio ya risasi,waliamua kuwasha TV na kushangaa kuona Rais Obama akitangaza kuwa Osama ameuliwa eneo lao wanaloishi!
9 - Baada ya kutangazwa kuwa ameuwawa,mtandao wa twetter uliweka historia,Jumapili ya tarehe 01 May,2011 kwa kupata tweeter sms 3,440 kwa sekunde!
10 - Baada ya kutangaza kuwa ameuwawa Rais Obama aliandaa dinner na alipewa 'standing ovation' (wakati anaingia watu walikua wameshakaa na wakasimama na kumshangilia kwa kumpigia makofi) kwenye ikulu ya White House na kuwapongeza mashujaa waliomuua Osama Bin Laden

LADY GAGA APATA KAZI YA UPAPARAZI....!


 


Mbali na kuimba,kucheza na kuvaa nguo za ajabu ajabu na kuwavutia designers kadhaa,Stefani Joanne Angelina Germanotta aka Lady Gaga anatarajiwa kujiunga na V Magazine kama muandishi na jarida la kwanza litatoka May 12,2010
Na kwa sasa Lady Gaga na V Magazine wametangaza tender ya kutengeneza artwork kwa ajili ya jarida hilo

BIRDMAN AKANUSHA KUMUHITAJI....SOULJA BOY!

 


BRYAN WILLIAMS AKA BIRDMAN - CASH MONEY,CEO
Baada ya DeAndre Cortez Way aka Rapper Soulja Boy Tell Em kufunguka hivi karibuni kuwa alikutana na Cash Money CEO Bryan Williams aka baby aka Birdman kuwa huenda akafanya maamuzi mengi baada ya deal yake na Interscope kuisha,so watu wengi walikua wanavumisha kuwa Cash Money CEO,Birdman anataka kum-sign kwenye label ya Cash Money...
DEANDRE CORTEZ WAY AKA SOULJA BOY
Birdman amefunguka na kukataa habari hizo na Birdman alitupia kwenye twitter account yake kuwa,alipokutana na Soulja Boy hajaongea deal kama hiyo na hizo habari ni za uongo na uzushi aka umbea...

MARIAH CAREY...AJIFUNGUA SALAMA TWINS....!

....


....MARIAH CAREY NA HUSBAND WAKE NICK CANNON....!
.April 30 itakua ni siku maalum kwa Mariah Carey na Nick Cannon,coz ilikua ni siku ya kusherehekea miaka 3 ya ndoa yao,tangu 30 April 2008 walipofunga ndoa pande za Bahamas...
....WATOTO WA MARIAH NA NICK CANNON....!
Lakini furaha imeongezeka zaidi,Jumamosi ya tarehe 30 April 2011 mnamo saa 12:07 za mchana kwa saa za Marekani jijini Los Angeles baada ya Mariah Carey kujifungua watoto 2 aka twins,baby girl alizaliwa kwanza then baby boy alifuata na baada ya kuzaa salama na ili kukamilisha furaha Mariah Carey alikua anasikiliza wimbo wake wa We Belong Together