P funk majani amethibitisha leo hii kupitia Bongo fleva
show ya Clouds Fm kuwa anafanya collable na msanii
Mimms kutoka Marekani pamoja na Jay moe.
"tayari ameshanitumia vocal so kilichobaki ni mimi
na Jay moe kuingiza vocal, then tutaituma kule kwaajili
ya mastering" amesema P funk...Ngoma hiyo ni beat
aliyoitengeneza P funk mwenyewe ndani ya Bongo Records
No comments:
Post a Comment