Saturday

CHINUA ACHEBE....AMKOMALIA RAPPER 50 CENT....!

DR ALBERT CHINUALUMOGU ACHEBE - NIGERIA THINGS FALL APART NOVEL (1958) - WRITTEN BY CHINUA ACHEBE Ndoto za Rapper Curtis Jackso aka 50 Cent za kuiita movie yake "Things Fall Apart" huenda sistimie coz Mwandishi Maarufu toka Nigeria, Dr Chinua Achebe amempeleka mahakamani kudai fidia Imefunguliwa kuwa baada ya kusikia kuwa 50 Cent ameiita movie yake Things Fall Apart,Chinua Achebe Foundation ilimtafuta movie producer wa 50 cent na kumwambia kuhusu kutumia jina hilo,na kuwa linatokana na novel aliyoiandika Dr. Achebe ya Things Fall Apart 1958 na walikubali kulipa dola milioni 1 kwa Chinua Achebe Foundation kwa kuwa tu 50 Cent alitaka kutumia jina hilo kama tittle ya movie yake
CURTIS JAMES JACKSON III - 50 CENT THINGS FALL APART - 50 CENT MOVIE Lakini ikafunguliwa kuwa Chinua Achebe Foundation ilikataa kuchukua fidia hiyo Coz novel ya Things Fall Apart iliuza zaidi ya copy milioni 8 duniani kote na kutafsiriwa kwa zaidi ya lugha 50 na kumfanya Dr Achebe kuwa 'the most translated African writer of all time' na kuweka historia ya kuwa 'the most read book in modern African literature ' na hakuwa tayari kuiuza tittle hiyo hata kwa dola bilioni 1,na baada ya kuona hivyo ilibidi movie producer na msambazaji wa movie hiyo, Image Entertainment kumshauri 50 Cent kubadili jina la movie hiyo na kuiita “All Things Fall Apart” kwa kuepuka matatizo na Dr Chinua Achebe

No comments: