Tuesday
J-LO....ATOKA NA ACTOR BRADLEY COOPER...?!!
JENNIFER LOPEZ AKA J-LO (ARTIST/ACTRESS)
Jennifer Lopez aka J-Lo ambaye ametemana na baby baba wake,Mark Anthony imefunguliwa kuwa 'anatoka' na Actor Bradley Cooper
BRADLEY COOPER - ACTOR
J-Lo na Mark Anthony waliachana mwezi July na inasemekana alipata kitu cha 'romantic dinner' na Actor Bradley Cooper jijini New York
Actor Bradley Cooper ame-act funny aka comedy movie ya Hangover ameonekana na J-Lo pande za Per Se Restaurant,na baadaye ilifunguliwa kuwa J-Lo amepata shavu la kuwa starring kwenye remake ya Overboard na labda alikutana na Bradley kumuomba wauze wote sura kwenye movie hiyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment