Tuesday
2 PAC SHAKUR....ATIMIZA MIAKA 15 YA KIFO CHAKE...!!
TUPAC AMARU SHAKUR (JUNE 16,1971 - SEPT 7,1996)
Leo imetimia miaka 15 ya kifo cha Rapper,Tupac Amaru Shakur aka 2 Pac au Makaveli aliyezaliwa June 16,1971 na
kupigwa risasi September 7,1996 na kufariki dunia September 13,1996 2 Pac amepewa heshima kama the father's
of West Coast hip-hop,na kumfanya awe the most successful deceased rapper in the game,Na kwa kuthamini na
kutambua mchango wake kwenye game,mji wa Herford ulioko nchini Ujerumani uliweka sanamu la 2 Pac Shakur
kwenye makumbusho yake ya Marta....
MARTA MUSEUM - HERFORD,GERMANY
Mama yake,Afeni Shakur alianzisha Shakur Family Foundation na baadaye kuiita Tupac Amaru
Shakur Foundation au TASF mwaka 1997 iliyokua na lengo la kutoa training na support kwa
wanafunzi wenye talents na hit song yake ya Dear Mama, ilikua ni moja ya nyimbo 25 zilizoingizwa
kwenye National Recording Registry mwaka 2010 na kutajwa Dear Mama ina ujumbe kwa mama
wote wanaokabiliwa na changamoyto maishani lakini wanazitunza familia zao na jamii kwa ujumla
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment