Monday

RICH ONE....ADAIWA KUCHAKACUA MOMBASA NA WENZAKE...?

RICHARD SHAURI AKA RICH ONE


Member wa zamani wa TMK Wanaume Halisi Richard Shauri aka Richie One ianadaiwa kupiga mchanga wa macho pande za Mombasa kwa kudaiwa kuchukua mkwajna wa msanii toka Tanzania aliyetakiwa akapige show pande za Mombasa


MR BLUE AKA BAYSER

Imefunguliwa kuwa Director wa The Office Restaurant,Peninah Chepkemoi alimuomba Richie One kumtafuta Mr Blue ili apige show July 16,2011 na kukubali na kupewa mkwanja wa advance na alipoulizwa kuhusu Bayser inakuaje,inasemekana rich One alifunguka kwamba asingeweza kumleta Mr Blue bali atamleta Abby Skills na director huyo kukubali Abby Skills apige show na baadaye Richie One kumpiga changa la macho Abby Skills na kusepa


ABBY SKILLS

Abby Skills aliokolewa na Hussein Hamisi aka DJ Seen,founder wa Flash Records ambaye alipatia malazi na baadaye kumsaidia kusafiri kurudi Dar es Salaam

….Nilimcheki Richie One aka Ninja kuhusiana na hii issue but alifunguka kuwa....Jamaa anayekwenda kwa kwa jina la Bishop amempikia zenge tu na amezoea sana issue hizo coz hata Ray-C alimzingua....longtime kitambo...!

No comments: