Monday

KAREN NA WENDALL....WASHINDI BBA AMPLIFIED - 2011...




Washiriki toka Zimbwabe,Wendall Parson na Karen Igho toka Nigeria wameshinda tuzo ya Africa's biggest reality show,Big Brother Amplified, na kunyakua kitita cha dola 200,000 za Marekani

Karen,model na stripper mwenye miaka 27 alipata kura nyingi toka nchi za Nigeria,Ghana,Angola,Mozambique,Tanzania Wendall ambaye ni commercial pilot alipata kura toka kwa nchi 4,Kenya,Zambia,Namibia na Zimbabwe na walikaa siku 91 kwenye jumba hilo na washiriki 26 toka nchi za Africa walishiriki

Washiriki waliongia Fainali na kura walizopata...!

Karen: kura za nchi alizopata – Nigeria,Angola,nchi nyingine za Africa, Ghana,Mozambique,Tanzania Wendall: kura toka – Zambia,Zimbabwe,Namibia,Kenya Luclay: kura toka – South Africa,Botswana Lomwe: kura toka – Malawi Sharon : kura toka – Uganda Hanni: kura toka – Ethiopia Vina: Hakuna nchi iliyompigia kura

No comments: