WILLIAM JAMES ADAM JR. - WILL.I.AM
Bendi toka Kenya,Just A Band hivi karibuni wamegundua kuwa American Producer na member wa Kundi la Black Eyed Peas,Will.i.am ameizimia na kuizungumzia single yao ya Save My Soul
Will.i.am alifunguka kwenye wall yake ya Facebook.....Just A Band toka Kenya huwezi kuamini kama wanatoka Africa,ni bonge la Pop Band na wako vizuri na tutaangalia uwezekano wa kufanya nao kitu na kwa kutumia baadhi ya tracks zao kwenye film soundtrack....
JUST A BAND - KENYAN BAND
No comments:
Post a Comment