Wednesday

SWIZZ BEATZ ATAJA....TOP 5 RAPPERS WAKE!




KASSEEM DAOUD DEAN AKA SWIZZ BEATZ
Top Producer Kasseem Daoud Dean aka Swizz Beatz amefunguka na kuwataja top five favorite rappers wake kwa mwaka 2011,akiwemo Kanye West na upcoming star toka Roc Nation,J Cole
Pamoja na kuwa karibu na Rapper Jay-Z,lakini Swizz Beatz hajamtaja kwenye list yake,wengine walio kwenye Top 5 Rappers ya Swizz Beatz ni....
Rick Ross
Drake
Wiz Khalifa
Jadakiss
na pia amewataja Top 5 upcoming artist wake kuwa ni,Sean Cross,J. Cole,Wiz Khalifa,Nipsey Hussle na Fred Da Godson
Kwa sasa inasemekana kuwa Swizz Beatz kwa sasa yuko studio aki-recordi studio album yake ya 2 iitwayo Haute Living,ambayo itatoka baadaye mwaka huu

No comments: