Wednesday

PRETTY GIRL ROCK....AMWAGA RADHI!



R&B Recording artist na songwriter toka Marekani,Keri Lynn Hilson amefanya kituko cha mwaka baada ya kuamua kupiga picha ya kwenye jarida la Allure akiwa hana nguo mwilini aka naked kabisaaaaa....
Kery Hilson alipigwa picha na Patrick Demarchelier,na amefunguka kuwa “tunafanya vitu vingi,na nina handbags za thamani na kila kitu ila shooting ya jarida hili ni kuvitupa hivyo vyote na kulipamba jarida”
Allure Magazine ni jarida maarufu sana nchini Marekani ambalo linajihusisha na urembo kwa wanawake,na huchapishwa kila mwezi na lilianzishwa mwaka 1991 na Linda Wells

No comments: