Wednesday

Lil Wayne anataka kuingiza Billion 75 mwaka huu

Baada ya kushika namba 74 katika forbes list ya 2010 The best rapper alive kutoka Young oney Cash money muite Lil wayne a.k.a weezy amefunguka kua ana plan za kufanya Young Money kua Big money…..hii ni baada ya kueka wazi kua anataka kua mwaka huu anataka kuingiza dollar million 50 ambazo ni sawa sawa na Billion 75 za kibongo bongo…..Lil wayne alifunguka maneno hayo akiwa kwenye interview ya magazine pande za obama land…..ww una mpango mwaka huu?

No comments: