Wednesday

Ricky Ross chini ya ulinzi kwa kukamatwa na ganja Hotelini

Je una habari kama mtu mzima Ricky ross aliwekwa chini ya ulinzi wa police juzi kati alipokua anaendelea na tour yake inayojulikana kama “I am Music II”….hii nibaada ya kubainika kua rapper Ricky ross na washkaji zake walikua wanapuliza kitu cha kush kwenye hotel ambayo wamefikia na baada ya police kufatilia vizuri walikuta gram 1 ya mfuko uliojaa ganja au kush

No comments: