Thursday

Lil Wayne f/ Rick Ross – ‘If I Die Today


Lil Wayne amewashangaza mashabiki wake siku ya leo kwa kuachia kitu chake kipyaaa kinachoitwa “If I die today” cha kushangaza ni ngoma ambayo ni kama ameirudia ile ngoma ya ricky ross mpya inayotwa “I’m not a star” ila yenyewe ipo kimtindo wa tofauti na chakushangaza zaidi amemshirikisha huyo huyo ricky ross ni bonge la ngoma….humo ndani lil wayne anakwambia “kama nikifa leo ni kumbukeni kama John Lennon” unamjua John ww km humjui kaa humo

No comments: