Monday

Movie iliyomsababisha 50cent kupunguza uzito wa kilo 27...

Unayemuona hapo ni 50cent wakati anaigiza movie inayoitwa "Things fall apart"...  ni movie itayokuwa inamuelezea 50cent kama kijana anayesoma collage na anacheza american football wakati anaugonjwa wa Cancer..  Tarehe ya movie kutoka au kuingia sokoni bado aijatangazwa...


No comments: