Leo Kupitia Yo hard..!! na Sudi Brown tumesikia kuusu ishu ya Jay Z na Baby wa Cash Money.., sasa Teentz.com imepata more story…… Ukiachana na ishu ya Baby kumwambia Jay Z kuwa ataendelea kutumia pesa.. na anamtaka akae tayari kwa matukio yake ya kuspend yanayokuja…, Pia Baby kamshauli Jay Z kuwa next time akiwa anamdis mtu amtaje na jina kabisa…na sio mafumbo.., Ukiacha ayooo yote… Baby katumia billion 1.5 kununua gari jipya linaloitwa Maybach Landaulet …. Pia baby anamwomba Jay Z aache kumuonea Lil wayne wivu kisa anauwezo wa kuandika mistari mikali kuliko yeye... Na pia anataka Jay Z ajua kuwa Lil wayne is the best rapper alive...
No comments:
Post a Comment