Lil wayne alifanya ngoma ya Green and Yellow kwa ajili ya team ya amrerican football inayoitwa Green Bay packers anayoishabikia ambayo mavazi yao ni langi ya green & yellow….., Juzi team hiyo imeshinda Super Bowl… nikitendo kilichomfulaisha sana lil wayne na kuamua kufanya party ya Green & Yellow na kuperfom na maswagaaa kibaooooooooooo.. mcheki mwenye kwenye stage akiwa na kundi zima la cash money live ndani ya Teentz.com na akiwa ametupia green and yellow wakati wa mechi uwanjani….!!
No comments:
Post a Comment