Thursday
Rihanna atoa orodha ya mipini itakayopatikana ndani ya album yake mpya iitwayo loud
Cutey kutoka Barbados ambae kila akitoka na hairstyle lazima aigwe na them ladies dunia nzima, miss ela ela eh eh….aka rhihana ametoa rasmi orodha ya mipini ipatikanayo ndani ya album yake mpya kwa jina loud Ndani ya album hii nicki minaj… miss baby gat back…..ataskika kwenye dude kwa jina raining men na kuna dude ambalo linasemekana linamlenga c breezy mr deuces dude kwa jina fading away……..
Orodha full ya pini hizi ni kama ifuatavyo
“S&M”
“Only Girl (In the World)”
“What’s My Name”
“Cheers”
“California King (Bed)”
“Raining Men” featuring Nicki Minaj
“Who’s That Chick”
“Fading Away”
“Man Down”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment