Monday
KUTANA NA MCHIZ WANGU SELEMAN SALUM
Huyu ni mchiz wangu wa ukweli hood wa kitaa
anapenda watu wote na hapendi majungu wala ujinga
yuko schoool UDOM anapiga kitabu mdogomdogo kama unataka
mawasiliano sema na mimi nakupa awe friend ako.
Mtafute Facebook kwa jina la selewish utampata.
Thursday
KANYE WEST ATOA MKWANJA AFICHIWE SIRI
alicia keys na mchumba ake wamepata baraka kwa watoto
wao wajao wapendwa kutoka South Africa kwamababu.
KANYE WEST ATOA MKWANJA AFICHIWE SIRI
MKALI WA SWAGGER ZA KIGUMU KUTOKA MBELE KANYE KAMTOA MIMILION YA MAHELA ILI
AFICHIWE SIRI NA DEMU AKE AMBE ROSS, BUT MASHUSHU WANADAI
INAWEZEKANA JAMAAA AKAWA SHOGA.
Monday
USIJE MJINI LYRIC
Verse I…
Ogopa matapeli nyumba hii haiuzwi/
Moja ya nembo maarufu hapa mjini mzazi/
Wote tunataka utajiri so zinatungwa mitkas/
Watu wanalia kila siku ka matarumbeta ya arusi/
Jua limeshushwa zaidi mjini/
Na huwaka zaidi mifukoni/
Kila Malaya ana story na zote huwa hazifanani/
kumbuka Zubeda/Yule binti wa Professor/
akashindwa jua atamsaidiaje mjini kuna mengi brother/
wanachapa mpaka ndala/kwenye nyumba za ibada/
sio wote wana pa kulala usidanganywe na luninga/
huku huku kwenye ufisadi waliopo hawataki kurudi/
hata mbunge wa kwenu yupo huko atakuja uchaguzi/
sio wote mambo ni safi wengine wamegomewa na maisha/
wanaona haya watarudije na story walizowahisha/
hakuna shamba hakuna mbuga labda kuwaibia wajinga/
mawazo yatayofanikiwa ni moja ya kumi ya unayoyafuga/
so they say…..
Choras..
yafaa uskize nnayosema/huku kugumu unaweza kupotea/
nananananana (usije mjini)
nananananana (nishakwambia usije mjini)
eeeeeh eeeh (usije mjini)
eeeeeh eeeh (nishasema usije mjini)
eeeeeh eeeh (usije mjini)
eeeeeh eeeh (narudia tena usije mjini)
VERSE II
Maisha ya huku ni mbinde
Yafaa kutumia akili ya kuzaliwa ndio ushinde
Watu wanahustle everyday
Wapunguze makali ya maisha day after day
Kuna wivu,chuki,ghasia,fitina
Watu wako mbio mbio kupoteza muda hakuna
Wanatoroka na wake hata waume wa wenzao
Wengine hawatosheki wanawachapa mpaka watoto zao
Mbwebwe nyingi vyeti feki wengine wakikopa hawalipi
Na si wote wanaosmile ukadhani wako happy
Hawamaanishi ila ubishi
Maisha hayana hata urafiki
Bora bush town uzushi huko undugu huku cash
Town nani hana deni
Kama hauna kazi muda nao hauendi
Na si kila aliye town basi mjanja
Unaweza kuukamata mkwanja
kisha ukaonekana mshamba
usije mjini son
Verse III..
Daisaama samba m’magai/kama mbwai mbwa/
Kuni ni watu jua ndio moto sikutishi mji haufai/
Wamasai hawachungi ng’ombe huku wanalinda magari/
Washaiba deal ya wamakonde mji ulivyokuwa nishai/
Siku hizi hawawindi simba wanasuka dada zetu tu/
Mjini huwezi kuwa mtu kama huna deal ya mkwanja mkuu/
Nafuu huko kuna waganga kweli/huku hata dini ni dili/
Na kuna manyoya cuz mjini sio kuzuri/
Na si kila alie town basi mjanja/
Unaweza ukaukamata mkwanja halafu ukaonekana mshamba/

NICK MBISH NAE JANA KAPATA KID
Wiki moja baada ya kudondosha ngoma aliyoiita Play boy na ndani yake kuelezea misimamo yako kwamba hawezi lala na dem mmoja mara mbili, rapa Nicky Mbishi amepata mtoto wa kiume.
Mtoto huyo amezaliwa siku moja na `tupac shakur yaani siku ya jana tarehe 16/ June
Leo asubuhi Nicky alituma msg kwa DAWSON na msg yenyewe inasomeka kama ifuatavyo:-
Niaje DAWSON? Yesterday was the day Tupac was born but 4hrs after you announced that my baby boy and my first born Malcom was born 2, so Nicky Mbishi is also Malcom’s Daddy… good Morning!
nikki amezaa na msichana wake ambae pia anasoma nae chuo kimoja kinachoitwa Mbeya Institute of Science And Technology.
Friday
KUTANA NA COOLRENY
HUYU NI MCHIZI WANGU WA UKWELI KAMA NA WEWE UNAPENDA TUMA VYAKO TUWEKE KWENYE BLOG YETU YA JAMII.JINA LAKE HALISI NI RENATUS JOSEPH UNAWEZA KUMTAFUTA KUPITIA facebook kwa jina hilohilo na kama unapenda awe rafiki yako mtumie mail kupitia Renatusjoseph@rocketmail.com
Thursday
BEBE COOL KIDOGO ACHEZEE KICHAPO MBELE
Bebe Cool toka Uganda jana karibu achezee kichapo toka kwa machizi wa nchini Denmark baada kuwasemea mbovu baada ya kupiga show akiwa kwenye wheelchair,kwanza alim-diss mchizi mmoja kuwa ni mjinga wala hana passport ya kuishi nchini humo na kufanya fans kum-mind na kudai kama vp kuwa yeye ni superstar wala hawawezi kumpiga.
Timbwili ilibidi liingiliwe na Polisi ili kurudisha hali ya amani na mwana anatarajiwa kuendelea kupiga show kesho tar 4 nchini Holland na tar 5 June nchini UjerumaniBEBE COOL KIDOGO ACHEZEE KICHAPO MBELE
Wednesday
HATUA 10 ZA URAFIKI MZURI.
1. FOCUS ON WHAT YOU CAN GIVE TO A FRIEND, NOT WHAT YOU CAN GET OUT OF AFRIENDSHIP.
- If being happy is your only motive for wanting someone to be your friend, then you are not being a real friend.
Don't get caught up in keeping tabs onwho has given most in the friendship.
Give to your friends regardless of how much they give to you.
2. ENCOURAGE YOUR FRIEND.- Real friends inspire and push each other to be the best that they can be, rather than drag each other down.
They are happy when other people achievetheir goals.
3. BE WILLING TO FORGIVE.- Don't let hurt turn to grudge. This is one sure way to destroy afriendship. Forgive your friend and move on.
4. TACTFULLY POINT OUT THEIR MISTAKES.- This is one way to show concern for others. If you really care, you willtactfully point out a specific example for his own good. But once you've brought the problem to your friends' attention, don't harp on it all thetime.
Don't walk away from a friendship when you see some of your friends' faults. Be patient with a friend as he or she tries to change. Realize thatnobody is perfect.
5. BE RELIABLE.- When you say you are going to be there, be there.
6. DON'T TRY TO CONTROL YOUR FRIENDS.- Real friendship does not mean you always have to be together. It may be tempting to have a fun person all to yourself, and feel threatened when yourfriend spends time with others.
If you are afraid to let your friends out ofyour sight, you are probably afraid of losing them.
Good friendship willendure time spent apart. You and your friends may learn to appreciate eachother even more.
7. BE THERE FOR THE GOOD AND THE BAD TIMES.- Celebrate with them if your friends are excited about something. But don't be there just for the good times.
When your friend is upset about something,give them your full attention. Most of the time, what friends really need isa sympathetic ear, someone who understand their feelings.
8. LEARN TO ACCEPT PERSONALITY DIFFERENCES IN YOUR FRIENDS.- Be careful not to evaluate other people by how you react in a particular situation.
Do not automatically take your friends' behaviour personally.
9. DON'T BE A BLABBERMOUTH.- Learn and be willing to keep each others' secrets.
10. DON'T LET ARGUMENTS DESTROY YOUR FRIENDSHIP.- Suppose you're having a discussion with a friend and after you've said what you think is true, they still disagree. Don't keep arguing until youget mad with each other. Just drop it. Your desire to win the argument mayruin your friendship.
Posted by DINA MARIOS at 7:00 AM 3 comments
Sunday, May 30, 2010
MUIMBAJI WA UFUNGUZI WA KOMBE LA DUNIA AFARIKI DUNIA

MCHIZ AY APATA TUZO YA MSEKE
Kidume cha mzee Yesaya kinazidi kufanya poa katika huu ulimwengu wa muziki na kuisimamisha dede bendera ya Tanzania... Hapa namzungumzia kijana anayemiliki kampuni ya rubudani inayoitwa Unit Entertainment... Ni A.Y
Ameshinda tunzo ya East African song of the year kupitia wimbo wa LEO katika tunzo za Museke za Ghana.. Na leo hii anaenda Kampala kwa ajili ya kufanya show katika fainali za Pilsner Djs Spinning.
"Napenda kuwashukuru mafans wote walioni support kwa kunitakia kheri na kunipigia kura katika tunzo za Ghana zijulikanazo kwa jinala la Museke na kufanikiwa kushinda.. na ushindi huu si wa A.Y peke yake bali ni ushindi wa Tanzania, Mashabiki wa A.Y na mashabiki wa muziki kiujumla.. Nafanya kazi sana , mnanipa support kubwa na mafanikio bado hatujayafikia so mo faya" Hayo ni maneno ya A.Y
50 CENT AMEJIKONDESHA SANA KISA MOVIE
JAMAA AMEJIKONDESHA MBAYA ILI ACHEZE VIZURI MOVIE YAKE MPYA YA THINGS FALL APART JE KIBONGO TUNAWEZA ????
Subscribe to:
Posts (Atom)