Thursday
BEBE COOL KIDOGO ACHEZEE KICHAPO MBELE
Bebe Cool toka Uganda jana karibu achezee kichapo toka kwa machizi wa nchini Denmark baada kuwasemea mbovu baada ya kupiga show akiwa kwenye wheelchair,kwanza alim-diss mchizi mmoja kuwa ni mjinga wala hana passport ya kuishi nchini humo na kufanya fans kum-mind na kudai kama vp kuwa yeye ni superstar wala hawawezi kumpiga.
Timbwili ilibidi liingiliwe na Polisi ili kurudisha hali ya amani na mwana anatarajiwa kuendelea kupiga show kesho tar 4 nchini Holland na tar 5 June nchini UjerumaniBEBE COOL KIDOGO ACHEZEE KICHAPO MBELE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
u look cute Bebe
Post a Comment