Monday

KUTANA NA MCHIZ WANGU SELEMAN SALUM


Huyu ni mchiz wangu wa ukweli hood wa kitaa
anapenda watu wote na hapendi majungu wala ujinga
yuko schoool UDOM anapiga kitabu mdogomdogo kama unataka
mawasiliano sema na mimi nakupa awe friend ako.
Mtafute Facebook kwa jina la selewish utampata.

2 comments:

iddy juma said...

mbona we huonekan dogo harafu hujauza sura kama watu wa mbele vile,weka makeup

huuu said...

wewe mtoto kama vile nakufahamu nitafute tafadhali