Thursday

Dr.dre na Emeniem wachaguliwa kuperform ndani ya tuzo ya grammy 2011

Inavyelekea kama Tuzo za Grammy mwaka huu zitakua ni funika bovu kwa list ya wasanii na watangazaji waliotupiwa pale kati….wasanii watakao perform ni kama Dre,Emeniem,Justin Beiber,Lady gaga na wengine kibaoooo….na kwenye watangazaji ametupiwa LL Cool J, Selena Gomez na mwanadada Nicky Minaj sasa pata picha Show itavyokua…..Teentz itaendelea kukupa List ya wasanii ambao wataongezwa kwenye Perfomance za Tuzo za Grammy 2011 ambazo zitafanyika mwezi huu tarehe 13…….

No comments: