Thursday

50cent Hatomnunulia mtoto wake gari aina ya Ferrari

Ukiachia mbali kua msanii na mfanyabiashara mkubwa na mwenye mkwanja mrefu kinoma Curtis Jackson a.k.a 50cent amekataa ombi la mtoto wake wa kiume la kumnunulia gari aina ya Ferrari siku ya Birthday yake ambayo dogo huyo anatimiza miaka 16 na hatimae 50cent kudai kua inambidi mtoto wake atafute mwenyewe kwa nguvu zake kama yeye alivyotafuta……50cent pia amedondosha ngoma mpya leo ambayo inaitwa “old 2003 Ferrari” ngoma ambayo ndani yake anawaponda Wiz Khalifa na kanye west kwa ku share dem yani Amber Rose……

No comments: