Monday

T-pain kajipiga tattoo ya Facebook.....


T-Pain. The Auto-Tune King ameonesha mapenzi yake na mtandao wa Facebook kwa kujitupia kitu cha tatoo kwenye mkono wake nakuandika "You Don't Have to Like Me" maneno ambayo kwa chini yake ameweka ki button cha facebook

No comments: