Monday

Eti Nicky Minaj ni Boss wa Drake

Maswali kibao yanaendelea kuzuka juu ya uhusiano kati ya Nick minaj na Drake … Eti juzi Nick minaj akiwa kwenye enterview na MTV aliulizwa ilikuaje akapata colabo na Drake kwasababu Drake ni mmoja wa wasaniii ambao wako busy sana….. Nick minaj akajibu akisema : Mimi ndio Nick minaj, Bosi wa Drake…. Anafanya mimi nachotaka…. Na mambo mengine kibao…..

No comments: