Monday

Snoop Dogg na Game watoka na kitu cha ‘Purp & Yellow

Black and Yellow imekuwa Purple and Yellow….. mpango mzima ukisababishwa na Snoop akiwa na The Game… yani pale wanaposema black and yellow wao wanasema Purple and Yellow… Wamefanya hivyo kwaajili ya Team ya Basket ball inayoitwa Lakers…. Ambao mavazi yao ni ya langi ya Purple na Yellow.....

No comments: