Monday

Demu wa Mr Black and Yellow a.k.a Wiz Khalifa mwanadada Amber Rose amemkiss mwanamke mwenzake hadharani

Juzi kati kupitia twitter imethibitishwa kuwa Wiz Khalif na mwanadada Amber Rose wanadate…. Wakati huo huo Amber Rose naye anadate na demu mwenzake (yani na yeye pia anademu.., na juzi kati walienda kwenye kidate na kukiss mbele za watu tukio zima lilitokea ndani ya Beso Restaurant in West Hollywood................





No comments: