Saturday

Keri Hilson – ‘Pretty Girl Rock’

Jana Teentz iliwaonyesha cover la album mpya ya Keli Hilson inayoitwa “No Boys Allowed” … Leo ndani ya Teentz unaweza kucheki video ya ngoma yake mpya inayoitwa “Pretty girl rock” kidizaini kama kwenye video ameiga swagger flani hivii za zamani za TLC na Janet Jackson.. cheki video toa na comment..

No comments: