Mwana dada Alicia Keys amepotea kwenye media kwa mda tangu ajifungue mwenzi uliopita. Juzi kati ameonekana kwa mara ya kwanza akiwa na mme wake Swizz Beatz katika party ya kusherekea mauzo ya mme wake kwenye cover la magazine ya GQ. Watu wengi walikuwa wanashanga jinsi Alice Keys alivyokuwa anacheza na mwili wake ulivyo… yani kama vile ajazaa.. Wewe pia unaweza kucheki jinsi Alicea Keyz alivyo sasa hivi na kutoa comment yako
No comments:
Post a Comment