Thursday

Mtoto mwingine wa Will Smith ajitosa kwenye Muziki

Baada ya mtoto wake wa kiume Jaden Smith kufanya vizuri katika movie ya The Karate Kid na pia kupiga Collabo na Justin Beiber katika ngoma ya Never say Never, Mtu mzima Will Smith anaendeleza maajabu kwa kumuibua mtoto wake mwingine wa Kike katika fani hii hii ya kuimba.

Mtoto huyo anajulikana kwa jina la Willow Smith na ngoma aliyofanya inaitwa Whip My Hair, dogo ana umri wa miaka tisa na katika ngoma hiyo Willow anawa encourage Galz to snap their heads back and forth and whip that hair like a helicopter, akitumia mitindo flani ya Fashion Idol wake Rihanna, mtoto huyo ambae baba na mama yake ni wasanii(Will Smith na Jada Pinket) anaonekana amepata Trainning ya kutosha kutoka kwa wazazi wake na has what it takes to tussle with the big girls—and her ’tude hasn’t gone unnoticed.

She’s already received a co-sign from Solange Knowles, known for her own experimental hairstyles. “WIllow Smith make me wanna whip some haiiirrr in this house. Ummm kill em girl. Kill em!” she tweeted.

2 comments:

musa said...

mtoto wa ndege ni ndege jamani

amina said...

nakipenda hicho kitoto nishakiona kwenye movie