Wednesday

Documentary mpya ya Tupac kutoka mwakani.


Documentary mpya ya The Late Tupac shakur inatarajiwa kutoka mapema January mwaka 2011. Wakati leo ni maadhimsho ya miaka 14 tangu mtu mzima Tupac Shakur afariki dunia kutokana na Majeraha ya risasi, na katika kuadhimisha siku hii ndio ikatolewa Taarifa za Documentary hii mpya iliyopewa jina la Uncensored and Uncut: The Lost Prison Tapes, ambapo ndai yake kutakua na clip ya Mahojiano(Interview) ya Pac ambayo haijawahi kuonekana sehemu yeyote.

Footage za Documentary hiyo zilipigwa mwaka 1995 wakati ule Pac anatumikia kifungo chake katika Gereza la Clinton Correctional Facility.

Katika mahojiano hayo Pac anazungumzia mahusiano yake na mama yake, pia anazungumzia tukio la kupigwa risasi mpaka kukaribia kupoteza uhai wake.

Hii si Documetary ya Kwanza kutoka ikiwa inamzungumzia Tupac, Nyingine ni: Tupac: Resurrection, released in 2003.

* 1997: Tupac Shakur: Thug Immortal
* 1997: Tupac Shakur: Words Never Die (TV)
* 2001: Tupac Shakur: Before I Wake...
* 2001: Welcome to Deathrow
* 2002: Tupac Shakur: Thug Angel: The Life of an Outlaw
* 2002: Biggie & Tupac
* 2002: Tha Westside
* 2003: 2Pac 4 Ever
* 2003: Tupac: Resurrection
* 2004: Tupac vs.
* 2004: Tupac: The Hip Hop Genius (TV)
* 2006: So Many Years, So Many Tears
* 2007: Tupac: Assassination
* 2009: Tupac: Assassination II: Reckoning

No comments: